Wabunge wa CCM na Muswada wa katiba mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wa CCM na Muswada wa katiba mpya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mubezi, Nov 15, 2011.

 1. Mubezi

  Mubezi Member

  #1
  Nov 15, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hv kwanini wabunge wote wa CCM hawajapinga mswada wa katiba,kwanini wankubaliana na kila kitu,je mawazo yao yote yapo sawa,je wanaogopa nini kupinga,je mswada upo sawa,je kwanini wasomi,wanasheria,wanaharakati wanupinga,je watu wa vijijini wanjua ili,je kuna mtu anao huo mswada ili tuujadili hapa sasahv,Tujadiri kama watanzania sio tujadiri kama CCM na chadema au cuf au chama chochote,tuwe wakweli,asanteni na karibuni.
   
Loading...