Uchaguzi 2020 Wabunge wa CCM mpya ni mkakati maalum wa kubadili katiba, Paul Makonda na Alexander Mnyeti ni kishindo kikuu

kabombe Ile timing ya kuchukua fomu ya ubunge imewaumiza sana,walitegemea atumbuliwe huku hana kitu mkononi cha kushikilia ili wamcheke
 
BAK mtu kama huyu hajui siasa za nchi hii. Nakuapia 2025 JPM anaondoka na wala hana hata chembe ya kusalia madarakani. Uliona gesture yake pale mpaka akamkosea Kwa bahati mbaya Mzee Ruksa. Ni aibu mtu kudhani ataongeza hata sekunde. Kumbuka sasa tutakuwa katika kivumbi cha kutafuta urais wa 2025. Achana na mawazo mgando ya kubadili katiba ili aongeze muda. This is TZ
 
😂😂😂😂 mnachuuzwa sana nyie eti kamkosoa Mwinyi hahahahaha

BAK mtu kama huyu hajui siasa za nchi hii. Nakuapia 2025 JPM anaondoka na wala hana hata chembe ya kusalia madarakani. Uliona gesture yake pale mpaka akamkosea Kwa bahati mbaya Mzee Ruksa. Ni aibu mtu kudhani ataongeza hata sekunde. Kumbuka sasa tutakuwa katika kivumbi cha kutafuta urais wa 2025. Achana na mawazo mgando ya kubadili katiba ili aongeze muda. This is TZ
 
20200714_193355.jpg
 
Hii combination imekaa kikanda ziwa. Kwenye hesabu tunasema ni 4:1 . uzichek vzr hizo names above ispokua moja ya chini zaidi. Nini mana yake? Kama ni kweli juu ya ulichoandika basi pasi na shaka Hilo litakua lengo ovu sana ktk nchi hii. Kuona upande mmoja tu wa nchi hii ukipgania kiongozi atokao upande wao awe kiongozi kinyume cha katiba.

Lakini mimi nimefikilia kwa mapana nakitafakar hyo names hapo juu kichwa ni kimoja tu kilichosoma sasa mana yake wasomi wetu watakua mbongo zao zmebebwa na vihyo Hao?je kama ndvo kutakua na umuhimu gani wa watoto Wangu kuwasomesha shule?wakati najua hata wakiwa vihyo wataendesha wenye mbongo kubwa?

Asilani hili halitatokea nawaapia!
 
Mawazo ya hovyo sana , kama Taifa kutegemea hawa Zero brain eti wakabadili katiba, ni mawazo ya hovyo sana kuwahi kutokea.

Piga chini wote hawa msifanye makosa Oktoba.
 
Hili hata Miami nimelisema Kwenya moja ya mada zangu na nikashauri wapinzani wawaonye wananchi ju ya hatari ya kuchagua wabunge wa CCM hata wawe na umaarufu gain katika Jamii.

Ukimpeleka Kimei Bungeni,ujue tu umechagua kumuongezea mtu mmoja muda wa kukaa madarakani hivyo ni bora uchague mpinzani kuepusha hill na mengineyo ya hovyo kutokea.
 
Hapana. Huna la kuandika na unaamua kujitungia. Huo nao ni ugonjwa. Mkuu kuwa busy na maisha yako. JPM HATAONGEZA MUDA NA PIA HAITAJI. NASI HATUHITAJI TANZANIA KWANZA. 5-10 years ni enough.
 
Cha msingi mi naona wananchi tuamke tupeleke wabunge wa upinzani wakutosha bungeni, vinginevyo tutakuja kujuta huko mbele. Mungu epusha haya yasitokee
 
Declare upande wako ni upi wewe ni ccm zamani na zamani ipi mtandao Kikwete?, CCM Mkapa? CCM Mwinyi?, CCM Nyerere?, Wewe ni mpinzani,? Wewe ni against Magufuli? Una wivu na uliowaorodhesha? hujaelewaka ujumbe wako, unawakebehi upinzani kuwa ni utopolo?
 
Hivi Membe ni mtaa gani vike hapa TZ ?
Inamaana Ndugai hatakuwepo Mjengoni kutetea Kiti chake??

Sasa ndipo napata picha halisi kwanini Membe amekataa kusubiri hadi 2025. Ni wazi Jiwe hataachia madaraka.
 
Back
Top Bottom