Wabunge wa Bunge la Uganda wamekuja katika Bunge la Tanzania kujifunza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wa Bunge la Uganda wamekuja katika Bunge la Tanzania kujifunza

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Duble Chris, Jul 20, 2011.

 1. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Wabunge wa Bunge la Uganda Wamekuja kupata tuition kutoka bunge letu jinsi kambi ya upinzani inavyo fanya kazi Je kuna la maana la kujifunza hapa
   
 2. COMPLICATOR2011

  COMPLICATOR2011 JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
  Kama wanajifunza juu ya kambi ya upinzani hapo kuna la kujifunza maana vijana hao wako makini, lkn ingekuwa ni kujifunza juu ya bunge kwa ujumla hasa upande wa serikali (MAWAZIRI) na Spika wangerudi kwao na bila bila.
   
 3. F

  FJM JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Wakaweke 'ukomo' wa Rais, vinginevyo hakuna umuhimu wa Bunge.
   
Loading...