Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki watofautiana juu ya Vikao vya EALA kufanyika Arusha pekee!

Achana nao hao EAC sisi sasa hivi tutajenga kiwanda cha HONDA na Panasonic. Achana nao hao.
Hatuihitaji EAC na waelewe kabisa.
Na kuanzia sasa ninapendekeza makao makuu ya bunge yahamie Rwanda au kenya ili sisi tuweze kujito.
Mia.
 
Mimi silumbani na waimba mipasho kama wewe muda wote dume zima unajicheketua "Khaa!!!" badilika wewe usije ukaparamiwa
Khaa!! wewe ndiyo bogaz kweli. The point ilikuwa nyingine halafu wewe unaleta mambo ya kijingajinga. Sasa hayo mengine yangu personal yametoka wapi? Amka acha ushamba wewe focus kwenye mada siyo kukurupuka tu mlevi :bored:
 
Kweli mkuu Morinyo aisee!. Nimemkuta Mkenya Sinza eti ni meneja wa baa,naongea nae kiingereza kum test kiingereza chenyewe cha kuungaunga,kiswahili kizuri hajui kiingereza kizuri hajui..ha! Hivi vijana wetu wanaohitimu B.com., B.A Marketing, MBA nk wote waende wapi. Nenda kwa wenzetu uombe kazi ambazo locals wana qualifications zake uone utakavyosumbuliwa!. Sijui hata wizara ya kazi na taasisi husika wanafanya nini?
 
katika nchi za EA ni kikwete peke yake amechaguliwa ki democrasia wengine wote wamebebwa na Ukabila. udicteta.. tunaanza na Kenya.. Kenyatta alishilikiana na Mungiki kuwa chinjilia mbai wakenya 2007, M7kila uchaguzi ukifika anaifanyia vilaka katibaa ili aendelee kukaa madarakani!! Kagame huyu ni Idd Amini mpya Congo haina amani na huwasambaratisha wapinzani wake kwa njia yoyote!! Tanzania tunaweza kusimama wenyewe kama Reli na bandali tunazo tunahitaji kiongozi tu mwenye kuikataa rushwa nchi inageka kua South Africa uchumi utapaa!!
 
Khaa!! wewe ndiyo bogaz kweli. The point ilikuwa nyingine halafu wewe unaleta mambo ya kijingajinga. Sasa hayo mengine yangu personal yametoka wapi? Amka acha ushamba wewe focus kwenye mada siyo kukurupuka tu mlevi :bored:
Utachapwa na wenzako wewe acha kujicheketua "Khaa!!"
 
Ni Muungano ufe kuliko kua na muungano wa kinafiki, hata faida za muungano kwa watanzania sizioni. Tanzania ndo nchi inaongoza kwa kutoa ajira kwa mataifa wanachama kuliko taifa lolote(hasa wakenya). Hii inaweza ikawa ahuweni pale tutakorazimika kupunguza idadi ya wageni wanokuja kufanya kazi nchini na kazi hizo kuhamia kwa vijana wetu.

Mbaya zaidi wageni wamemwagiwa tindikali zanzibar, lakini ni sifa ya Tanzania ndiyo imechafuliwa.
Zanzibar waondoke kabisa hatuwataki....
 
Kweli mkuu Morinyo aisee!. Nimemkuta Mkenya Sinza eti ni meneja wa baa,naongea nae kiingereza kum test kiingereza chenyewe cha kuungaunga,kiswahili kizuri hajui kiingereza kizuri hajui..ha! Hivi vijana wetu wanaohitimu B.com., B.A Marketing, MBA nk wote waende wapi. Nenda kwa wenzetu uombe kazi ambazo locals wana qualifications zake uone utakavyosumbuliwa!. Sijui hata wizara ya kazi na taasisi husika wanafanya nini?



Watanzania tumekua wahanga wa miungano feki, ajira zetu zimeondoka kwa ajili ya kulea upuuzi huu. Ifikie sehemu tuseme basi. Hao wanajua kuongea tukifunga milango ya ajira watujua la kufanya, kosa wanalolifanya la kula na kipofu ukamshika mkono halitawaacha salama.
 
Tangu mwanzo hivyo vikao vilikua vinarotate miongoni mwa nchi wanachama,kilichotokea wazo la vikao vifanyike pale makao makuu Arusha,ndilo limepingwa,sio kwamba limetolewa wazo la kukataa makao makuu kuwa arusha kama heading inavyomissled.
 
It is sickening to hear that sitting in different capitals of the EAC contributes to the integration process! So why do we have a headquarter of the Community with an EALA structure? EALA is a waste of time, if you ask me! They end up enacting private laws that cannot be implemented. It was a mistake in the first place to confer such a wide mandate to a body that does not represent the majority of East Africans. Their mandate should be restricted to enacting Community Laws accepted by the Partner States and the passing of budget. That can be done in not more that two sessions held in the Headquarters. Tanzania Parliament sits in Dodoma period. Same goes to all Parliaments in the world. Rotating is a new phenomenon...should Parliaments also rotate in all regional headquarters?? Hell No!!! The sooner EALA gets that into their heads, the better!
 
Mi kwa mtazamo wangu ni jelous iliyoanza kujitokeza baada ya kuja Viongozi wa kubwa toka nchi tajiri na utajiri wa Tanzania.Wangetamani wao wangekuwa na nafasi zaidi kwenye mali za nchi hii,lakini kilicho wastaajabisha ni kuambulia kurejeshwa nyumbani wahamiaji haramu, inaweza kuwa imetengeneza gubu ambalo wameanza kutuadhibu taratibu.
 
  • Thanks
Reactions: R.B
we nadhani umelogwa. kila kitu unawaza kikwete tu. kwani kikwete ndo anakaa kwenye vikao vya bunge la afrika mashariki?

We mburula hujui kuwa Kikwete anakaa kwenye bunge la EA kupitia maboya yake wakina Shy-Rose na Kimbisa!!!
 
EALA divided over proposal to restrict sessions to Arusha.

Members of the East African Legislative Assembly (EALA) are divided over whether or not to hold all their sessions at the EAC headquarters in Arusha.

EALA-Sergent-at-Arms.jpg

An EALA Sergent at Arms carries the mace to during a session in Kigali. The Assembly is divided on whether or not sessions should continue to be alternated within partner states. The New Times


In contrast to the current arrangement where members conduct plenary sessions in all EAC member countries on rotational basis, the EALA Commission which plans the operations of the Assembly has mooted a proposal to restrict those sessions to Tanzania.
Sources say the Commission has the backing of the Speaker.

However, several members are opposed to the move, saying it would undermine the spirit of regional integration process.
“The move is supported by the Speaker and few members largely from Tanzania. But the majority seem to be really opposed to the idea,” said a source on condition of anonymity.

“The idea has sharply divided the members. The matter has been revisited several times. A sub-committee has been formed to look more keenly into the matter, financially, as well as the merits and demerits,” the source added.

Sources said the move is aimed at cutting costs the members incur while travelling to the partner states.

“The pro-Arusha group seems to argue that its a measure to cut costs as well but that is ridiculous since the budget that was passed last month took rotational sittings into consideration,” the source added.

Rwandan EALA member Abdul Karim Harelimana confirmed the reports when contacted yesterday.

“We were surprised to hear that from the Speaker and I immediately wrote to her opposing the move. It’s against the EAC Treaty. We don’t want to sit in Arusha alone, we have to move around the partner states and sensitise the citizens about the integration process,” Harelimana said.

Working reviewed
“There is also the factor of foreign exchange earnings– when we move to the partner states its one way of reimbursing on what the host country contributes to the budget through hotels and transport expenditure.”

Agnes Mumbi Ng’aru, a Kenyan MP on the Commission, said though she was against restricting the sessions to Arusha she believed the working of the Assembly can be reviewed.

She suggested lawmakers should strategise new ways to reach out to the public whenever they meet in the respective partner states.

“We found the rotational sittings there, even under the previous Speaker…its important because we interact with the national parliaments, the youth, women and other stakeholders. However there is a need to review the whole process,” she said.

The Kenyan legislator said the members should move beyond holding sessions in the partner states and tour different parts of the host country to meet people and assess the implementation of the integration projects.

She observed it was only in Kigali this year, where the members toured some projects and participated in the Genocide commemoration activities.

Prudence Sebahizi, the national coordinator of the East African Civil Society Organisations Forum (EACSOF), said rotating the Assembly’s sessions was important in strengthening the integration.

“They want to minimise the costs but people need to be sensitised about the integration process I don’t support the move,” he said.

Jeremie Ngendakumana, a member of EALA from Burundi, said, “We are still discussing the issue we shall communicate to you once we reach the consensus otherwise I cannot reveal anything.”

Article 49 of the Treaty on the function of EALA stipulates that “Assemblies shall liaise with the national assemblies of the partner states on matters relating to the community.

The issue is likely to be high on the agenda during the next EALA sitting this month in Tanzania.

Mimi nilivoona tu Rwanda imekaribishwa kwenye jumuia ya Afrika Mashariki nikajua sasa tusubiri mtifuano.Hivi kwani Rwanda na Burundi nao wapo Afrika Mashariki jamani, ngoja tuendelee kuumizwa na Rwanda
 
Huu ni zaidi ya chuki na uzandiki kwa rais wa nchi,...maafa unayoyasema ni yepi....?.....na hayo maugonvi ni yepi_kumshauri Kagame kusuluhisha mgogoro wa ndani ndio ugonvi....Kagame na ndugu yake M7 ndiio vidudu watu wa huu mgogoro_if so to speak,......hebu jaribu kufikiri kwa hekima na kuwa mzalendo kidogo kwa nci yako.
Ninaomba msipoteze muda Kwani humu jamii forum imevamiwa na wanyarwanda ndiyo mnaojibizana nao,tena bila kujua mnapoteza muda wenu hivi hamuoni jinsi wanavyoandika tu mkajua kuwa Hawa siyo Watanzania?hawa watawapoteza mkiwafuata bila kufanya tafsiri rahisi ya Yale wanayoyaandika,
 
we nadhani umelogwa. kila kitu unawaza kikwete tu. kwani kikwete ndo anakaa kwenye vikao vya bunge la afrika mashariki?


Mkuu usipoteze muda na watutsi hao, sasa hivi hata ukipost umekorofishana na mkeo utasikia wanamsema Kikwete. Halafu ile operation safisha wahamiaji haramu imeishia wapi?
 
Back
Top Bottom