Wabunge, vipi kuhusu wizi wa mafuta?

koyola

JF-Expert Member
May 20, 2015
2,645
1,747
Wawakilishi wa wananchi na washauri kwa serikali pia kusimamia serikali, vipi kuhusu huo wizi mbona mpo kimya?
 
Wawakilishi wa wananchi na washauri kwa serikali pia kusimamia serikali, vipi kuhusu huo wizi mbona mpo kimya?
Genge lao, watakuambia kesi ikiwa mahakamani hawaingilii mhimili mwingine
 
Something fishy is goin on... and sababu Mafuta yaliyokuwa yanaibiwa ni baada ya kodi so waliokuwa wanaibiwa ni Wanunuzi
 
kiko wapi waliokuwa wanasema ati awamu ya tano haiibiwi? watu wamenyonya mafuta tangu 2016 hadi wa leo ndiyo watu wanashtuka - teh teh teh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom