Wabunge vijana wasiliangushe taifa

Najijua

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
1,039
179
Ndg wanaforum,
Naomba kuchukua nafasi katika forum hii na kuwaomba waheshimiwa wabunge vijana wateule wasiliangushe taifa.

Nawasilisha mada hii ukizingatia uchaguzi uliokwisha umewezesha taifa kupata vijana wengi na kuvunja ile kasumba ya vijana ni Taifa la kesho kama walivyokuwa wamezoea kusema kwa lengo la kutunyima nafasi ya kushiriki katika nafasi za maamuzi.

Wosia wangu kwa wabunge hawa vijana ni kwamba dhamana ya taifa wamepewa wao na wao ndio watakuwa role models wetu kwa chaguzi zijazo, wakifanya vibaya wajue wazee na wasiopenda maendeleo ya vijana watafanya reference kwao wakiwa wanafanya maamuzi ya kuwanyima vijana fursa ya kushiriki katika nafasi za maamuzi. wafahamu kuwa wamechaguliwa kwa kuwa jamii sasa imefika wakati ambapo wazee na vijana wameskilizana juu ya mustakabali wa taifa lao na hii ina maanisha jamii imechagua MABADILIKO na tunahitaji kuona mabadiliko hayo isiwe zile siasa za porojo tulizo zizoea toka tunazaliwa wengine imefika wakati wa kuona mabadiliko kwa vitendo na kila raia aone hayo mabadilko na sio tunayo yaona katika ripoti na taarifa pekee.

Naomba kuwasilisha,

Great Bruker
 

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,618
2,123
Wakijisahau na kuanza kula good time na kusahau maslai ya wananchi itakuwa imekula kwao 2015
 

BUBBA

Member
Feb 9, 2010
19
0
bila shaka watawakilisha vyema nafasi ya vijana bungeni


Aaagh wapi, hawana lolote hasa huyu CATHERINE MAGIGE aliyetoa mwili wake kupata uongozi,inachefua sana. Si mwakilishi halisi wa vijana, amebaki kufanya ngono na Wazee tu hasa MARTIN REUBEN SHIGELLA,historia itamuhukumu Shigella kwani ameshiriki katika jambo la kuangamiza na kuharibu taifa letu na Tamaa zake za Miili ya watu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom