Wabunge tunaowategemea kutetea WASANII na RADIO za burudani kwa wa TZ

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,803
637
John Komba

IMG_1390.jpg


Vicky Kamata

CD.JPG



SUGU/ Joseph Mbilinyi

SUGU.gif
 
images


Wasanii na Wa Hesimiwa wabunge wakibadilishana mawazo
 
Mtoe Komba alikuwepo na hakufanya lolote kutetea wasaniii!
na SUGU mtoe pia ameingia kwa Nguvu zetu wanambeya atatetea jimbo la Mbeya mjini zaidi!
wasanii si waliahidiwa na jk! wakampigia na debe wacha atawatetea tuu!
 
SUGU naye atatoka kivyake kwani ni wasanii wachache sana waliompa back up, others walikuwa busy campaigning for CCM (Chaka Chua Matokeo)
 
Back
Top Bottom