Wabunge.TUAMBIENI KAMA POSHO NI SUALA LILILOKUA KWENYE ILANI ZA VYAMA VYENU! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge.TUAMBIENI KAMA POSHO NI SUALA LILILOKUA KWENYE ILANI ZA VYAMA VYENU!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bajabiri, Nov 10, 2011.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mmeanza kikao kwa posho na maslahi zaidi,je hivi vitu vilikua kwenye ILANI ZA VYAMA WAKAT WA KAMPEN?NA SASA MNATEKELEZA HZO ILANI?kwa bahat mbaya mnadai mishahara minono kwa kutumia kigezo cha wananchi!jambo hili si zuri,msituhusishe sisi,maana hatupendi kusingiziwa,hatupendi mjilimbikizie malipo wakati kuna masuala muimu,kuna mbunge amesema kwakua wao wanaalikwa sana hvyo inawapasa kutoa pesa kila waalikwapo,duh!hii inaendana na ya Pinda,alosema sisi huwa tuna0mba0mba hapo viwanja vya Bunge
   
Loading...