kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 5,987
- 6,646
Kweli hakuna sababu hats kidogo! Mwezi mmoja ungetosha chamuhimu wangefuta maukiritimba n mautaratibu mareeefu mfano inabore sana wanapoanzaga kumwita mbunge mmojammoja kusema ndiyo au hapana so wangebonyeza tuu mahali kisha listing itoke nani alisema ndiyo na nani hapana...Benge lenyewe limepoteza umaana wake Siku hizi.