Wabunge Singida kuweni wamoja

Kanyunyu

JF-Expert Member
May 2, 2012
335
495
Leo Najitokeza kuwasihi wabunge wetu wa mkoa wa singida waungane na wawe wamoja kutetea ajenda za mkoa wa singida ndani ya bunge, ajenda muhimu ni kilimo cha Alizeti, viwanda vya kusindika mafuta na makazi bora
Kuna taarifa za uhakika kwamba wabunge wa mkoa wa singida hawana maelewano mazuri wao kwa wao, kila mmoja Ana mambo yake hivyo kukosa umoja wenye afya, mikoa mingine ya wenzetu wabunge wanaungana pamoja na wanashirikiana kusimamia ajenda za maeneo yao, chonde chonde waheshimiwa kuweni wamoja ili msaidie jamii ya singida, wabunge 7 ni wa ccm na 1 ni wa upinzani.
 
Haya wamekusikia.
 
Back
Top Bottom