Wabunge punguzeni ujiko kwenye ugonjwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge punguzeni ujiko kwenye ugonjwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TIQO, Oct 28, 2011.

 1. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  View attachment 40170 [​IMG]
  Wabunge wa Kamati ya Huduma za Jamii wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumjulia hali Zitto Kabwe.

  Jamani wabunge wetu wanapenda sana promo haswa kwenye maswala ya shida, angalia hawa wameenda kumjulia hali Zitto wametafuta mwandishi wa habari wapige picha ili wapate promo, inamaana asingepatikana mwandishi wa habari wasinge kwenda kumjulia hali? Jamani wabunge na viongozi wengine acheni kuuza sura kwenye vyombo vya habari.
   
 2. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hawana lolote hao
  walidhani kuna posho ya vikao
   
Loading...