kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,319
- 4,089
Ma Zero brainMusukuma na kibajaj wamesemaje leo? Nawakubali sana
Ma Zero brainMusukuma na kibajaj wamesemaje leo? Nawakubali sana
Kwa mazingira yalivyo,hilo jimbo CCM wanaweza kulibeba.Mm si mpenzi sana wa siasa.Tunaomba amaniUtawasikia wapi kama media zimedhibitiwa kureport habari za cchadema. Ukitaka kuwasikia nenda kwenye kampeni
Mange anawapiga huko aliko na hakuna wa kuweza kujibu hata hoja yake moja! Mwalimu anakubalika bila nguvu kubwa na kama huamini tucheze kamari mimi na wewe yaani uweke jiwe miye naweka m1 tshs kama Salim hajamlamba mtulia tena kwa tofauti kubwa ya kura! Hata mkiiba bado ccm haitoboi kinondoni na siha!Muiteni da'Mange aje kumnadi Mwalimu.
Kwenda zako huko wewe lofa. Hiyo m1 uitoe wapi; ufipa?...miye naweka m1 tshs...
Hawa watu wanafiki sana hata shetani anawashangaaNdio nashangaa ssa hilo jimbo la kinondoni miaka zaidi ya 50 lilikuwa chini ya CCM hawakutekeleza hayo eti leo ndio wanaahidi watayafanya ndani ya miaka 2?? Cjui watatumia miujiza gani !!!
Anapumulia mashine kivipi?Waandika vitabu wanasema atashinda kwa kishindo.Ila nakubaliana na wewe-Very awkard gambling by Mhe.MtuliaNafikili hata akishandinda Mtulia ...itakuwa ndo mwisho wabunge kujiuzuru...maana Mtulia sasa hivi anapumulia machine ICU alidhani atapata ubunge kirahis ...kumbe kazi sio rahisi.
Wabunge na mawaziri kutoka CCM wamejitokeza katika mkutano wa hadhara wa kampeni kumnadi mgombea ubunge wa Kinondoni, Maulid Mtulia.
Waliohudhuria mkutano huo uliofanyika leo Februari 11,2018 katika mtaa wa Idrisa, Magomeni ni Naibu Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson; Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako; na Naibu Waziri wa Afya, Dk Faustine Ndugulile.
Wabunge waliohudhuria ni Hussein Bashe wa Nzega Mjini, Azzan Zungu (Ilala), Livingstone Lusinde 'Kibajaji’ (Mtera), Halima Bulembo (Viti Maalumu) na Oliver Semuguruka (Viti Maalumu).
Wengine ni Sixtus Mapumba (Mbinga Mjini), Steven Ngonyani 'Profesa Majimarefu' (Korogwe), Joseph Musukuma (Geita Vijijini) na Rita Kabati (Viti Maalumu).
Kabla ya viongozi hao kupanda jukwaani, burudani ilitolewa na vikundi vya ushereheshaji huku waliohudhuria mkutano huo wakisimama kucheza na kuwatuza waliokuwa wakiburudisha.
Halima amesema mwanzoni Mtulia alikuwa mbunge wa upinzani na katika baraza la madiwani hakuweza kushauriana na meya lakini sasa yuko CCM hivyo kuwaomba wananchi wamchague.
Mapunda amesema wananchi wa Kinondoni hawakuwa na tatizo na mchezaji bali timu anayochezea.
“Mchezaji mzuri akitoa pasi inaharibika na ndiyo maana Mtulia ni mchezaji mzuri na sasa amekuja timu bora ya CCM mleteni tumalize mchezo mapema,” amesema.
Mbunge Zungu amesema wabunge wa CCM hawana ujanja bali ni ilani ambayo imejenga kuwajali wananchi.
Dk Ndugulile ambaye pia ni mbunge wa Kigamboni amesema, “Mtulia nitampa ushirikiano katika kutatua matatizo ya afya, wazee na maendeleo ya jamii yatapatiwa ufumbuzi kwa kumchagua Mtulia.”
Mwisho.
Wafikiri wote ni wategemezi wa lumumba kama wewe? Kama unaitaka tuma namba yako ya tigo pesa or whatever nikurushie zaidi ya hiyo ukamalize matatizo yako ila akishinda wa cdm unairejesha kwa riba!Kwenda zako huko wewe lofa. Hiyo m1 uitoe wapi; ufipa?
Huna lolote wewe mzungusha mikono. Nenda kampe hiyo m1 Mashinji imsaidie kwenye kumnadi Salum Mwalimu hapa Kinondoni.Wafikiri wote ni wategemezi wa lumumba kama wewe? Kama unaitaka tuma namba yako ya tigo pesa or whatever nikurushie zaidi ya hiyo ukamalize matatizo yako ila akishinda wa cdm unairejesha kwa riba!
Wewe umempa ngapi mtulia, kibajaji na ile crew ya leo magomeni? Huku cdm tulishazoea kuchanga tena bila kuombwa, lumumba mna utamaduni huo zaidi ya kukwapua hazina?Huna lolote wewe mzungusha mikono. Nenda kampe hiyo m1 Mashinji imsaidie kwenye kumnadi Salum Mwalimu hapa Kinondoni.
Nimekutambia kuwa nina m1?Wewe umempa ngapi mtulia, kibajaji na ile crew ya leo magomeni?...
Hizi sio tambo bali ni uhalisia! Hatufanani mjomba. Wakati wewe unahangaika na magu wako kukubania vijiposho na vijinyongeza vya mishahara mikia ya mbuzi mie nilishajikomboa kabla ya ujio wake na mbinu za kumake ninazo hivyo siusubiri mwisho wa mwezi aslan! Kama vipi karibu nikufunde acha kupoteza muda huko lumumba st! Njoo tuuze mitumba.Nimekutambia kuwa nina m1?
Lofa tu wewe, mwenye mali hapigi kelele.Hizi sio tambo bali ni uhalisia! Hatufanani mjomba. Wakati wewe unahangaika na magu wako kukubania vijiposho na vijinyongeza vya mishahara mikia ya mbuzi mie nilishajikomboa kabla ya ujio wake na mbinu za kumake ninazo hivyo siusubiri mwisho wa mwezi aslan! Kama vipi karibu nikufunde acha kupoteza muda huko lumumba st! Njoo tuuze mitumba.
Sikatai kuitwa lofa na sio mara ya kwanza kuitwa hivyo kwani hata babako mkapa aliniita hivyo pale jangwani! Na sina mali za wizi wala ufisadi bali nina pesa ninayoiringia! Na uzuri wa pesa inakutangaza na mwenyenayo anaitangaza vilevile! Sijifichi kwani tra wananitambua. Nakutangazia tena, wewe nakumudu kwa pesa niliyokuwa nayo na naweza kukununua uhamie cdm! Inabisha wewe njaa kali kama sigara kali? Haya tangaza dau kesho nikakunadi kwenye mkutano wa kampeni na kukuvalisha T-shirt ya cdm!Lofa tu wewe, mwenye mali hapigi kelele.
Ataiba kura ...labda ...ila ata akitoboa itakuwa nifunzo kubwa maana sahv yuko ICU...alidhan wananchi watampa feva apite kama anasukuma mlevi.Anapumulia mashine kivipi?Waandika vitabu wanasema atashinda kwa Kishinda kwa kishindo.Ila nakubaliana na wewe-Very awkard gambling by Mhe.Mtulia
Hatari sana !
Njaa inakusumbua elfu 7 mnazolipwa na Lumumba ...zinakutesaLofa tu wewe, mwenye mali hapigi kelele.
Vizuri sana kukubali kuitwa lofa, tena kilaza mkubwa unayejidai una hela kumbe fukara tu, kazi kupewa bando na Mashinji ili uje kuzungusha mikono huku.Sikatai kuitwa lofa na sio mara ya kwanza kuitwa hivyo kwani hata babako mkapa aliniita hivyo pale jangwani!...