Utafika peke yako kupitia kuzimu.Tutakua tunaelekea walipofika wenzetu waDRC na sudan kusin na nina uhakika tutafika either sooner or later
Utafika peke yako kupitia kuzimu.Tutakua tunaelekea walipofika wenzetu waDRC na sudan kusin na nina uhakika tutafika either sooner or later
Bas sawaUtafika peke yako kupitia kuzimu.
Mahakama pia zao(maagizo kutoka juu)Nakubali ila Makonda katufungulia mlango wa petition. Intimidation of voters. Ati mkiichagua chama dola, hamtavunjiwa tena vibanda vyenu.
Sasa muda na Pesa vinavyopotezwa kwenye kampeni,vinapotezwa kwa faida ya nani?Aje asije mtulia anaingia bungeni kwa sababu tayari mtangzaji wa matokeo ni wa kwao.
Kauli ya ndugulile ni ya hovyo. Inatosha kubatilisha matokeo ccm wakishinda. Ilitokea miaka ya nyuma bunda warioba alipogombea na mkondya.Wabunge na mawaziri kutoka CCM wamejitokeza katika mkutano wa hadhara wa kampeni kumnadi mgombea ubunge wa Kinondoni, Maulid Mtulia.
Waliohudhuria mkutano huo uliofanyika leo Februari 11,2018 katika mtaa wa Idrisa, Magomeni ni Naibu Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson; Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako; na Naibu Waziri wa Afya, Dk Faustine Ndugulile.
Wabunge waliohudhuria ni Hussein Bashe wa Nzega Mjini, Azzan Zungu (Ilala), Livingstone Lusinde 'Kibajaji’ (Mtera), Halima Bulembo (Viti Maalumu) na Oliver Semuguruka (Viti Maalumu).
Wengine ni Sixtus Mapumba (Mbinga Mjini), Steven Ngonyani 'Profesa Majimarefu' (Korogwe), Joseph Musukuma (Geita Vijijini) na Rita Kabati (Viti Maalumu).
Kabla ya viongozi hao kupanda jukwaani, burudani ilitolewa na vikundi vya ushereheshaji huku waliohudhuria mkutano huo wakisimama kucheza na kuwatuza waliokuwa wakiburudisha.
Halima amesema mwanzoni Mtulia alikuwa mbunge wa upinzani na katika baraza la madiwani hakuweza kushauriana na meya lakini sasa yuko CCM hivyo kuwaomba wananchi wamchague.
Mapunda amesema wananchi wa Kinondoni hawakuwa na tatizo na mchezaji bali timu anayochezea.
“Mchezaji mzuri akitoa pasi inaharibika na ndiyo maana Mtulia ni mchezaji mzuri na sasa amekuja timu bora ya CCM mleteni tumalize mchezo mapema,” amesema.
Mbunge Zungu amesema wabunge wa CCM hawana ujanja bali ni ilani ambayo imejenga kuwajali wananchi.
Dk Ndugulile ambaye pia ni mbunge wa Kigamboni amesema, “Mtulia nitampa ushirikiano katika kutatua matatizo ya afya, wazee na maendeleo ya jamii yatapatiwa ufumbuzi kwa kumchagua Mtulia.”
Mwisho.
ccm wakishinda lazima watapoteza mahakamani.Nakubali ila Makonda katufungulia mlango wa petition. Intimidation of voters. Ati mkiichagua chama dola, hamtavunjiwa tena vibanda vyenu.
Kwa faida ya trump.Sasa muda na Pesa vinavyopotezwa kwenye kampeni,vinapotezwa kwa faida ya nani?
Kailima hana tofauti na Ezra wa [HASHTAG]#IEBC[/HASHTAG] ya kenya..yuko pale [HASHTAG]#Nec[/HASHTAG] kwa special task.CCM Maji ya shingo Kinondoni , Tegemeo kubwa ni Kailima .
Haya mafuriko ya leo hayoAsante kwa taarifa.Kampeni za Chadema zimesimama?Siwasikii siku hizi
Utawasikia wapi kama media zimedhibitiwa kureport habari za cchadema. Ukitaka kuwasikia nenda kwenye kampeniAsante kwa taarifa.Kampeni za Chadema zimesimama?Siwasikii siku hizi
Ulitaka kuandika kitu gani?Matokeo yakitoka hamchelewi kusema mmeibiwa kura nyie wazee wa kupinga marudio ya chaguzi kuokoa pesa huku ninyi wenyewe mkishiriki chaguzi hizo hizo zinazotumia pesa nyingi.
Ndio nashangaa ssa hilo jimbo la kinondoni miaka zaidi ya 50 lilikuwa chini ya CCM hawakutekeleza hayo eti leo ndio wanaahidi watayafanya ndani ya miaka 2?? Cjui watatumia miujiza gani !!!Jamani mbona kuna majimbo ya maccm tangu uhuru yako hoi kabisa kimaendeleo ,nenda misungwi barabara mbovu ajabu, nenda kwimba, sengerema,sumve na sehemu zingine nyingi tu.
Chombo kinakwenda mrama nini ndo maana Lumumba watakuwa wamejazana kujaribu kukiokoa.