juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,463
Wabunge, madiwani, wenyeviti, makatibu wa CHADEMA wamepoteza dira kwa sasa, hawaeleweki wanasimamia misingi gani,wana ndimi mbili.leo wanaongea hili na kesho lile,
Leo:Lowassa ni mwizi
Lowassa ni dhaifu
Lowassa hafai
Lowassa ni fisadi papa
Lowassa hasafishiki hata kwa dodoki la chuma
Kesho: Lowassa ni msafi, wanaotoa kauLi hizo ni watu walewale
Big up kwa Dr Slaa hakuwa tayari kulamba matapishi, Mbowe kauza chama jamani, kama hamtaki basi ila amini hivo, hata mimi mwanzo nilikuwa mbishi ila now naamini.