johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,082
- 164,403
Bunge live liliwafanya wabunge na mawaziri wafahamike kirahisi na watanzania. Hivi sasa kuna wabunge hata hawajulikani kama wapo maana hata majimboni habari zao hazisikiki nao pia hawaonekani. Ni kama vile bunge live liliwasaidia baadhi ya wabunge kufanya maigizo na kujipigia promo.