wabunge na mawaziri wa ccm wakimbia bunge jioni hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wabunge na mawaziri wa ccm wakimbia bunge jioni hii

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TOWNSEND, Apr 19, 2012.

 1. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  mbowe anaongea kasikitishwa bungeni kuna mawaziri wawili tu na wabunge sita tu haijawahi kutokea
   
 2. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Ya leo kali!
   
 3. Sema Chilo

  Sema Chilo JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 324
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wapo kikaoni
   
 4. broken ages

  broken ages Senior Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 160
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Pengine wamekwenda faragha kupanga namna ya kujiongezea posho pamoja na kuwadhibiti wabunge ambao wamekuwa mwiba kwao
   
 5. n

  ngudzu Member

  #5
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hawana lolote maji yako shingoni hata wakirudi hawana jipya. Na kule hawasikilizani kikao hakiishi sasa wala baadae hapo hadi keshooooooooooo afu posho kama kawaida
   
 6. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,926
  Likes Received: 1,853
  Trophy Points: 280
  nchi hii imeshawashinda kwa kweli
  nadhan nguvu ya ziada kutoka kwa wananchi inahitajika sasa,
  ikiwezekana hata kuandamana,maisha yamekua magum,mfumuko wa bei umekua mkubwa had matumain yamepotea
  nchi wanaipeleka wapi hawa jamaa
   
 7. Kijana leo

  Kijana leo JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 2,872
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Kuna mdau alisema wana kikao, ss hii ni aibu zaidi kwao, ndo wanaanza kuja sasa, ifke mahali wananchi waone serikali ikizidiwa yaenda kuomba pooo, natamani mbunge 1 wa ccm aropoke walikuwa wp.
   
 8. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #8
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,926
  Likes Received: 1,853
  Trophy Points: 280
  eti sh million 480 imetumika ktk ukarabati wa nyumba moja ya waziri..!
  Kweli hii haki kweli?
  Mbona wamejisahau ivi??
   
 9. Mkubwa Jalala

  Mkubwa Jalala Senior Member

  #9
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kweli mfa maji aishi kutapatapa sasa ndani hakukaliki, nje halikadhalika wanatamani bunge lisiwepo ila wapewe posho tu.
   
 10. F

  Froida JF-Expert Member

  #10
  Apr 19, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Kwa kweli kiama cha CCM kimeingia wanazika vichwa kama mbuni huku kiwiliwili kikiwa juu ,wajiangaze kwa nini mambo yamekwama tuli nakubaliana tuandamane nchi nzima kuwaondoa wakapumzike kwa amani
   
 11. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #11
  Apr 19, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  mods unanisheni hii thread na ile nyingine
   
 12. m

  magwanda Member

  #12
  Apr 19, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Amemtaja kabisa ni waziri wa afya, naye yupo hapo bungeni macho yamemtoka tu
   
 13. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #13
  Apr 19, 2012
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,503
  Likes Received: 2,744
  Trophy Points: 280
  Je Spika naye yuko huko kwenye kikao?? Hao Magama warudishe posho za leo!!
   
 14. M

  MISENDAMILA Member

  #14
  Jun 25, 2015
  Joined: Apr 4, 2015
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wamebanana ! Aliyezoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi jamani !
   
Loading...