Wabunge na madiwani mnaojiuzulu mmewataarifu wapiga kura wenu au ndio maslahi binafsi?

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
4,445
4,704
Nimekuwa Nawashuhudia Wabunge na Madiwani kutoka Vyama vya Siasa hasa Upinzani kuhama na kwenda CCM wote wakitoa sababu moja,"Kuunga Mkono Juhudi".Nimekuwa najiuliza hivi ukitaka kumuunga mkono mtu au rafiki yako mpaka Uhamie nyumbani kwake?

Pili sina uhakika iwapo Mchakato mzima wa Kuunga Mkono Juhudi hao Wabunge na Madiwani wanawashirikisha Waliowapigia Kura inaonekana kuwa ni SIRI kubwa kati ya Wabunge/Madiwani hali ambayo huonyesha ni maslahi binafsi ndio maana wapiga kura wanaachwa solemba na kubaki wanashangaa Wabunge/Madiwani kuondoka bila kuwaaga.

Nawashauri Wapiga Kura na sisi Tusiwashirikishe katika Maamuzi yetu juu yao Wakati wa Uchaguzi Mkuu 2020 Tuwaache SOLEMBA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapiga kura wengi ndio kitu gani? Tuweke data hapa Kama mlivyosema madiwani 10 wa Chadema wemehamia CCM mtuambia na wananchi wa ngapi na majina yao wehamia chama chakavu.
Wapiga kura wengi tayari wamerudi Ccm Baada ya kutambua Wapinzani ni janja janja
 
Ni mamilon kwa mamilon comrade kama wale nzige waliovamia kenya
Wapiga kura wengi ndio kitu gani? Tuweke data hapa Kama mlivyosema madiwani 10 wa Chadema wemehamia CCM mtuambia na wananchi wa ngapi na majina yao wehamia chama chakavu.
 
Nimekuwa Nawashuhudia Wabunge na Madiwani kutoka Vyama vya Siasa hasa Upinzani kuhama na kwenda CCM wote wakitoa sababu moja,"Kuunga Mkono Juhudi".Nimekuwa najiuliza hivi ukitaka kumuunga mkono mtu au rafiki yako mpaka Uhamie nyumbani kwake?

Pili sina uhakika iwapo Mchakato mzima wa Kuunga Mkono Juhudi hao Wabunge na Madiwani wanawashirikisha Waliowapigia Kura inaonekana kuwa ni SIRI kubwa kati ya Wabunge/Madiwani hali ambayo huonyesha ni maslahi binafsi ndio maana wapiga kura wanaachwa solemba na kubaki wanashangaa Wabunge/Madiwani kuondoka bila kuwaaga.

Nawashauri Wapiga Kura na sisi Tusiwashirikishe katika Maamuzi yetu juu yao Wakati wa Uchaguzi Mkuu 2020 Tuwaache SOLEMBA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo swali Nyalandu anaweza kulijibu vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom