Wabunge, Mungu kawakumbusha ya marehemu Mwangosi

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
43,787
2,000
Leo hii wabunge wote mnalia kwa mchungu lakini mnasahau hata marehemu Mwangosi aliuwawa kikatili kwa mtindo huuhuu.Hili ni fundisho tosha kwa watawala.

Pia, hii ni damu ya Mwangosi inaitesa serikali ya Kikwete.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom