Wabunge msilalamike,toeni shilingi mzuie bajeti ya Waziri Mkuu mpaka afafanue masuala ya kitaifa

iparamasa

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
13,437
14,924
Nchi imezongwa na mambo meengi lakini mtendaji mkuu wa shughuli za kila Siku ni waziri mkuu

Atafafanua masuala ya njaa

Masuala ya bashite

Utekaji

Ben Saanane mbona hatafutwi kama yule faru

Biashara kufungwa

Na mengine yote uyajuayo

Asipofafanua,toeni shilingi bajeti ikwame,

Zikitolewa shilingi kwa wingi basi nadhani bunge litatunza heshima kidogo iliyobaki
 
wathubutu waone.... budget itapita kiulani tuu..
Hayo yote muende mkareport kituo cha polisi..
 
wathubutu waone.... budget itapita kiulani tuu..
Hayo yote muende mkareport kituo cha polisi..
Hahahaa,shughuli za kila siku za serikali anazosimamia ni pamoja na kiki za bashite,mambo ya clouds

Sasa wamuhoji kama kweli anazisimamia sawa sawa, au naye anaogopa ya nape
 
Hakika waache kulialia. Wa- impeach tu hakuna namna Nyingine ya kulisaidia taifa
 
Back
Top Bottom