Wabunge mnaoshiriki vikao vya kesho ni wanafiki kuliko woteee waliotokea kuwepo tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge mnaoshiriki vikao vya kesho ni wanafiki kuliko woteee waliotokea kuwepo tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Feb 8, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,464
  Likes Received: 5,706
  Trophy Points: 280
  Wengi wanasingizia kelele za binti kiroboto kama silaha ya wao kushindwa kusema
  lakini nimejiuliza hivi katiba na afya za watanzania nani bora
  mbona watu walitoka nje wakati wa katiba nini kinafanywa leo hii wasione umuhimu wa kutoka
  nje mpaka yule bibi pale mbele akubali kujadili hoja za madk ambao leo hii muhimbili imekuwa kama shule ya kipunguni ukipita jioni madarasa yamefungwa zimebaki viti na meza tu......

  Kama mtaingia vikao vinavyoendelea kesho basi mtakuwa ni wabunge wanafiki wahuni na washenzi kuliko wote waliopata kutokea kwenye nchi yetu ya tanzania..nasema hivi kwa uchungu tumeshaanza kuzika humu jf kama niliposoma mmoja wetu amefiwa lakini akuna kitukinachoendeelea so sioni umuhimu kabisa wa kuendelea kusapoti wahuni wanaoingia kusaini huku wakijidai kupiga kelele mijadala ya ma dk

  watanzania tuamke yale magogo tusiyategemee hata siku moja kuja kutusaidia ni sisi wenyewe tutajisaidia ama kwa kuandamana na kupigwa ili ma dk wapewe haki zao turudi hospitalini

  mungu ibariki tanzania mungu wabariki ma dk
   
 2. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  "Mungu ibariki Tanzania Mungu wabariki madaktari" Pdiddy

  "I support the doctors" MMM

  "Tunasonga" jG
   
 3. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,143
  Likes Received: 10,499
  Trophy Points: 280
  i support doctors
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,464
  Likes Received: 5,706
  Trophy Points: 280
  Mi mpaka sasa sijaelewa hii hesabu embu nielezeni jamani

  umeme+.katibaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.................=uhai wa mtu kweliiiiiiiiiiiiiii??????
  Haya matukio mawili yamesambaratisha watu mpaka wakatukanana sijui kuwalagai watanzania ama lah
  leo watanzania tumelalaaaaaaaaaaaaaaaa wabunge wamelalalaaaaaaaaa watu wanakufaaaaaa muhimbili
  bugando wametoa kabisa tangazo akuna huduma till further notice
  washenzi usiku huuu wako kimwaga wanabadilisha pombe asbh waamke na value ama zipompapompa
  shame on them ...kama si ushenzi nini nini??????????wizara moja wanaiba billion tisini soma magazeti
  ingelipa ma dk wetu wangapi???????????
   
 5. kaburungu

  kaburungu JF-Expert Member

  #5
  Feb 8, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,601
  Likes Received: 2,458
  Trophy Points: 280
  350,000/= Sio pesa kidogo kwa kuuza uso au kusinzia mjengoni, hope wataingia coz wanahitaji posho kufanikisha mambo yao ya msingi. After all wao wakiumwa huenda india so hamna shida. Na hata JK na waziri wake wa ulinzi Mwinyi nimewaona leo TBC saa mbili ucku waki-deal na mambo ya usalama baharini., very sad! Sielewi kwa nn anashindwa kuintervain ishu serious kama hii ya doctors nae amekaa kitako anasubiri kamati ya bunge ilete mapendekezo. Na inabidi kumuwahi wasije leta taarifa yao wakati ye keshaenda Davos!, kuwasilisha ripoti ya uchumi wa TZ!
   
Loading...