wabunge mnacheza mpira hamkumbuki watanzania wakoje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wabunge mnacheza mpira hamkumbuki watanzania wakoje?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Parata, Jul 6, 2012.

 1. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  nasikia uchungu sana kila ninaposikia tangazo la wabunge wa simba na yanga kucheza eti kuadhimisha tamasha la matmaini..mmesahau hatna kazi mmesahau hatna ajira nyie mwaza mpira hongeren sana ila mmeninikera
   
 2. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Hata we unacheza kiduku na kwako hakuna mboga,hayo ndo maisha
   
 3. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #3
  Jul 6, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,101
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  Tamasha la Matumaini! Mi' sijaelewa, matumaini yepi tunayosherehekea?
  Ya madaktari kugoma na wagonjwa kufa? Ya walimu kujiandaa na mgomo?
  Ya maisha ya Watanzania kuendelea kuwa ya ufukara uliopindukia?
  Au ya waheshimiwa kujiongezea mshahara mnono?...
   
 4. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Na wewe kacheze mpira, hujui kuwa mpira ni ajira inayolipa vizuri sana? kama unabisha muulize Drogba.
   
 5. asrams

  asrams JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 4,027
  Likes Received: 1,396
  Trophy Points: 280
  toka lini alieshaiba akamjua mwenye njaa????? Waache wacheze


  Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
   
 6. m

  markj JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  kama mtu anaweza luila hela ya mwananchi ambayo yeye hajaitolea jasho zaidi ya kulala tu mjengoni! je? hicho kiingilio cha kesho ambacho mtu mzima na kitambi chake katoa jasho uwanjani atakuachia eti kisa matumaini day! mmh sizani aiseee! nacho wata kwara tu! TAFAKARI CHUKUA HATUA
   
Loading...