Wabunge mashujashaa wailowahi kuvunja rekodi ya kulitikisa taifa kwa hoja nzito!

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,970
Wakuu tukijaribu kutafakari kwa makini tangu nchi hii ipate uhuru tumeona taifa likipata mtikisiko mkubwa uliosababisha hata mkuu wa nchi wakati huo kulivunja baraza la mawaziri zaidi ya Mara moja.
Hii ilikua ni baada ya kuibuliwa kwa kwa hoja nzito bungeni zilizokua zikitaja madudu makubwa yaliyokua yakifanyika serikalini na kuliingiza taifa hasara kubwa.


Wabunge wote hawa walitoka upinzani tukiacha ya Mh Mrema wa serikali ya awamu ya pili.

1.Mh Zitto Zuberi Kabwe na ya RICHMOND.
2.Mh Davidi Kafulila na ya ESCROW.


Ni mbunge gani aliwahi kutoka ccm akaibua kama haya ya kina Zitto kabwe na Kafulila?Kwanini hii pia isiwe ni sababu mojawapo ya kufanya bunge zizuiliwe kuoneshwa live?

Ni kipi kinafanya dunia nzima isijue mini kinaendelea kwenye bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania? Nini kinafichwa kama sio serikali kuogopa kutikiswa na wapinzani kama walivyofanya akina Zitto na Kafulila dunia ikashuhudia? He, Serikali itafanikiwa kuawaziba midomo wabunge aina ya Zitto na Kafulila?




Hii ndio tafsiri ya kwamba wenye kazi ya kuwakilisha nwananchi ni wabunge wa upinzani tu, wabunge wa ccm wana lipi za kihistoria ndani ya bunge zaidi ya kusinsia tu.yaani wapo wapo tu.
 
Kabuye - Ununuzi wa Mv bukoba enzi hizo
Chrissant Mzindakaya- ufisadi wa sukari
Zitto Kabwe - Buzwagi
Dr Slaa - Epa, meremeta
Njelu Kasaka - serikali tatu
 
Back
Top Bottom