jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,259
Bunge ni wazi limegawanyika vibaya...Ndani ya CCM kuna wanaosapoti mafisadi wakamatwe..
Baada ya piga nikupige nyingi...Kukatokea kundi ambalo limeamua kuwa sasa kama serikali imeshindwa..Basi BUNGE ndio last option.
Wakaweka hilo wazi wakiongozwa na baadhi ya wabunge ndani na njke ya CCM ikiwa ni pamoja na Sitta mwenyewe.
Sasa hapo MAFISADI wakahisi mwisho wao waweza kuwa BUNGENI na ndipo hapo mambo ya woga wa mafisadi yalipoanza wazi wazi..
Sasa wakaamua walitishe BUNGE...Tunafuatilia kwa karibu kama ni kweli WALITISHIKA! Na kama hawakufanya hivyo..Basi tunaomba waonyeshe hilo.
Naona Taifa liko kwenye Stallmate flani hivi....Hivyo basi nawaomba wabunge wote...Kama kweli wao ni watu wa watu...Then wasiendelee na mjadala wa NCHI kabla ya hatma ya watuhumiwa kujulikana..Ili wasafi wabaki na wachafu waondolewe.Ahsanteni wabunge kama mnalisoma hili.
Jmushi