Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,547
- 8,644
Katika siku za karibuni kumekuwa na kilio kikubwa cha wabunge kutaka kuongezewa mafao yao..Hii imeenda mbali zaidi hasa pale wabunge wa jirani zetu Kenya walipotembelea bunge. Inajulikana wazi kuwa majirani zetu uchumi wao ni mkubwa. Nahisi sio kipimio sawia kwa wabunge wetu kujipimia.
Kwa mfano, zaidi ya mshahara wabunge wa kenya hupewa mkopo wa gari linalofikia $80,000 na mkopo wa nyumba unaofikia kiwango hicho hicho. Hii ni mara tu bunge jipya linapoanza kazi..PIA WABUNGE HUPEWA CDF [CONTITUENT DEOLOPMENT FUND] INAYOFIKIA DOLA 500,000 AMBAYO HUDHIBITIWA NA MBUINGE HUSIKA KWA MWAKA.
LENGO LA MIKOPO HII NI:
KUINUA HADHI ZA WABUNGE hasa wakiamini kuwa mtu anaweza kuwa akiwa hana gari au nyumba ya maana inayoendana na hadhi ya cheo chake kipya...
PIA huwapa kujiamni zaidi na kuwatumikia wananchi bila kuwa na kishawishi hilo likiwa lengo. Ukamilifu wake hauwezi kuwa asilimia mia lakini NI WAZI KUWA WABUNGE WA KENYA KWA KIASI KIKUBWA WANAJITAHIDI KUISHI KWA STANDARDS...
Tukielewa kuwa POSHO wanazolipwa wabunge wetu hapa ni kodi yetu, nadhani tuna haki pia ya kuona kuwa UBORA WA MAISHA wanayoishi wabunge wetu unaweka taswira njema hata kwa wageni. Hata kama uchumi wetu mdogo lazima hadhi ya wabunge iendane na pesa tunazowalipa maana ni wawakilishi wetu. Tunajibana ili wasionekane duni ni haki kuishi kwa STANDARDS
KWA MFANO:
SITEGEMEI MBUNGE WA BUNGE LA JAMHURI AISHI NYUMBA YA KUPANGA AU AKOSE KUMILIKI WALAU NYUMBA MOJA,
SITEGEMEI MBUNGE WETU AKOSE MAKAZI YA KUDUMU JIMBONI MWAKE,
MOUNEKANO, TABIA NA MAISHA YA MBUNGE NI TASWIRA YETU!
SITEGEMEI MBUNGE AKOSE USAFIRI WA KUAMINIKA,
DODOMA KUNA NYUMBA ZA WABUNGE; SITEGEMEI MBUNGE ASHINDWE KUMUDU PANGO LA NYUMBA AU WAISHI NYUMBA KWA KUCHANGIA KAMA MAKAPERA WALIOHITIMU VYUONI KARIBUNI!
NASIKITIKA IMEWAHI KURIPOTIWA KUWA KUNA WABUNGE WALIKUWA WAKIISHI CHUMBA CHA GUEST DODOMA KWA KUCHANGIA!
OFISI YA SPIKA NA USALAMA NA HADHI YA WABUNGE....NI MUHIMU.
Spika wetu anaelewa kuwa anayo haki ya kuhakikisha maisha ya wabunge wetu ni salama na zaidi yanaendana na hadhi ya bunge kwa ujumla wake.
KAMA ITAONEKANA KUWA HILO HALIWEZEKANI BASI POSHO ZA MALAZI NA USAFIRI ZILIPWE MOJA KWA MOJA KWA WENYE NYUMBA PALE DODOMA KAMA NSSF,TANZANIA BUILDING ARGENCY N.K.
PIA KAMA ITADHIBITIKA KUWA WABUNGE WENGI WAKIPEWA MIKOPO YA PESA ZA MAGARI HAWANUNUI WACHAGUE MAGARI YANUNULIWE NA SERIKALI NA WABUNGE WAPEWE TU.
KAMA ITAONEKANA PIA PESA ZA MAFUTA WANAZOPEWA HAWAZITUMII KWENDA JIMBONI BASI SPIKA AAMURU WAWE WANAWEKEWA MAFUTA KWA TENDA[SIAMINI KAMA WATAPIGA NYOKA] MAGARI YAKARABATIWE KWENYE KARAKANA ZA SERIKALI!
MADEREVA WA WABUNGE WOTE WAPELEKE LESENI ZAO OFISI YA SPIKA KWA KUWA WANALIPWA MISHAHARA NA KODI ZETU. KAMA WABUNGE WATAAENDELEA KUAJIRI MADEREVA 'DAY WORKER' BASI ITAKUWA INAKIUKA USALAMA. MADEREVA WOTE WA WABUNGE WAAJIRIWE KWA MIKATABA NA SPIKA NA MISHAHARA YAO IONDOLEWE KWENYE POSHO ZAO NA KULIPWA NA SPIKA MOJA KWA MOJA.
NABAKI KUJIULIZA KUWA KWA NINI WABUNGE WETU WANAKUWA WABAHILI NAMNA HII NA BADO WANATAKA KUONGEZEWA POSHO WAKATI MATUMIZI YA POSHO TUNAZOWAPA KWA MOUNEKANO NA USALAMA WAO HATUYAONI....?
NAOMBA KUWASILISHA...