Niefurahishwa sana na tarifa ya Bunge kuwa WABUNGE MABUBU kubanwa. Kuanzia sasa nitasikia sauti ya Mhe.Lameck Airo Mbunge wa Rorya akitoa mchango wake Bungeni.Tangu aingie Bungeni huu ni mwaka wa sita sijasikia sauti yake akichangia hoja yeyote Bungeni.