Wabunge kutoka Zanzibar wajishughulishe tu na masuala ya muungano.

Byendangwero

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
871
56
Muundo wa utawala uliobuniwa kufuatia muungano wa iliyokuwa Tanganyika na Zanzibar ni waserikali mbili na mamlaka tatu; wakati serikali ya mapinduzi Zanzibar ni mamlaka kamili kwa masula yote ya Zanzibar yasiyokuwa ya muungano, serikali ya muungano ni mamlaka kwa masuala ya muungano, na vile vile masuala yasiyokuwa ya muungano yanayohusu iliyokuwa Tanganyika. Hivyo, katika hali hiyo,wakati wa majadiliano, na vile vile wakati wa kupiga kura wabunge kutoka visiwani wanapashwa kushiriki tu kwenye masuala yanayohusu muungano. Nawasilisha
 
Back
Top Bottom