Wabunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Pinda?

Kazi ipo? Je wabunge wa ngapi wa ccm watasaini ili kupata saini 70 za wabunge ili kupiga kura za kutokuwa na imani na waziri mkuu?
 
Zito aomba wabunge waweke sahihi ya kutokuwa na imani na waziri mkuu.

Wanahitaji sahihi 70 tu.

Sahihi hizo zitakusanywa kuanzia kesho hadi jumatatu.

duh, Pinda sijui hali yake ikoje sasa.
 
Ipigwe tafadhali, tuunde serikali upya maana sijaona lolote jipya toka kwake.
 
tuangalie wengine wasije wakapewa familia zetu au viplot vyetu tulivyokabidhiwa.
Mungu awe mbele yetu daima hakika tutashinda
 
kijana zitto leo amenipa burudani daah, apigwe chini huyo pinda zitto umerudisha imani yangu juu yako
 
zitto kaua ila poa tu bora pinda wamuondoe maana hana msaada wowote kwetu pm mzma analia bungeni so i concur with him let the pm step down and so do the whole cabinet(reshuffle)
 
Zitto Kabwe kukusanya majina 70 ya wabunge kuanzia kesho mpaka j2, j3 watakuja na tamko!
 
Pinda anatia huruma ni kama anazuia machozi ni kama amebebeshwa zigo ambalo amejitahidi kulitua bila mafanikio. Yetu macho hapo kesho!!!!!!!!
 
Mh. Zitto ametangaza nia ya kukusanya sahihi 70 za wabunge kwa ajili ya kuleta hoja ya kutokuwa na imani na waziri mkuu bungeni. Kama kweli wabunge wetu walikuwa wanamaanisha wanachokisema, mbivu na mbichi zitajulikana hiyo J.3.
Wana jamvi kwa atakayepata updates kuanzia kesho kwenye makusanyo ya sahihi tuwekeane hapa.
 
Back
Top Bottom