Wabunge kukataa hoja ya Mh Mnyika kuthibiti matumizi holela ya Taasisi za serikali ni sawa?

UMEKOSEA KIDOGO MKUU MBOWE ALITUAMBIA MBUNGE MMOJA WA CHADEMA NI SAWA NA WABUNGE 50 WA CCM??
Imagine mapendekezo muhimu kama ayo yalotolewa na john mnyika yanaishia kupingwa na wabunge wa ccm, that is rediculus,
my take: Nashauri kwa yeyote alomchagua mbunge wa ccm 2010 akatubu na ikibidi hakacheki yawezekana akili yake imeshake kama ya the great ***** may be (alipigwa concession)
 
To be honest with myself we should not expect much kama wabunge wenyewe ni kama kina Chenge na Simbachawene + baadhi ya viti maalumu (makofi sana)
 
Jamani mimi sikupiga kura 2010, lakini nafuatilia bunge. Kusema ukweli wale waliopigia kura chadema hongereni sana na mungu atawalipa maana mmetusaidia na sisi watanzania wengine! Lakini waliopigia ccm mlitusaliti sisi watanzania wapenda haki na maendeleo! Wabunge wa ccm ni wachumia tumbo!!!
 
Back
Top Bottom