Wabunge kujengewa nyumba kama mawaziri

Siku za vikao ni ngapi na siku za kukaa jimboni ni ngapi? Ingekuwa mawazo yangu ni kujenga hostel ambapo kila Mbunge atapewa apartment yenye chumba kimoja cha kulala, sebule, sehemu ya kupikia, choo na bafu. Familia zao zibaki majimboni kwani ajira yao iko zaidi jimboni na si Dodoma.

Huu uamuzi ni matumizi mabaya ya pesa kwa sababu sehemu kubwa ya mwaka hizi nyumba zitakuwa empty.
 
WomanOfSubstance said:
Rent-free homes
For those Swedish MPs who live more than 50km (31m) from the centre of Stockholm, which is most of them, they are entitled to a rent-free second home owned by Parliament.
There are some 250 such apartments in the city and the political parties decide which of their members get one.
They are neither posh nor palatial but MP Jorgen Johannson, who lives in a block just off one of the main shopping streets, says that 50 square metres is plenty for him when he just uses the flat to sleep.
In his own words, he comes to Stockholm to work not to live.
Family members can stay but they have to pay. So nearly all MPs in Sweden have their main homes in their constituencies and a second home, if applicable, in the capital.
There is the option to buy your own pad in Stockholm and claim up to 7000 kronor a month, equivalent to about £600.
But MPs cannot claim for any improvements to their own apartments whereas the state pays for repairs and improvements to their own accommodation.
Instead of taking work home with them, the political parties often allocate new MPs ready-made homes at work.
With their single beds, kitchenettes and en-suite shower rooms, they are reminiscent of student digs.
But in terms of value for money no doubt very cost effective.
There is a daily subsistence rate for MPs representing constituencies outside Stockholm of 110 kronor a day - just under £10 - to cover travel expenses. With an overnight stay, the daily rate is 360 kronor (£31).
No relatives
All the expenses are administered by a Board of the Parliament made up of 10 MPs.
They suggest the rules and Parliament approves them occasionally by a vote. Home office costs are covered but individual MPs don't receive a set staffing allowance.
Instead, the parties they represent get a pot of money which they allocate to their members to cover staffing and other office related expenses.
This means many MPs share researchers and secretarial staff.
Almost no MP in Sweden employs family members. There is no written rule against it but it is just something they do not do.
And just to make sure that Parliament is for working not playing, there are no bars in the building.

So no scenes of drunk Swedish MPs swaying through the corridors of power.
Instead, there is a swimming pool and sauna to relax in after a hard day's work.
Safi sana WoS, hii anatakiwa apelekewe Makinda ajue umuhimu wa kufanya uchunguzi kabla hajatoa pumba zake!

Wameifanya nchi kuwa ya mabwege, tunalalamika walimu hawana mahali pa kulaza ubavu, kisha mtu tuliyetegemea aje na hoja ya namna gani wabunge watahamasisha ujenzi wa nyumba za walimu, anakuja na uchuro wa nyumba za kifahali za wabunge Dodoma, kana kwamba majimbo yao yako Dodoma.

Ikiwezekana Makinda atumiwe hii note ya hostel za wabunge wa Sweden; pia wazo la Makinda litumwe Sweden ili nao wajue watu wanaowapa pesa za kuendesha nchi wasivyo na huruma kwa wananchi wao masikini!
 
WABUNGE sasa watakuwa na makazi yao maalumu mjini Dodoma maarufu kama Bunge Estate, sawa na ilivyo kwa mawaziri jijini Dar es Salaam na Dodoma, baada ya Spika wa Bunge, Anne Makinda, kuweka bayana mpango huo kwa wawakilishi hao.

Mradi huo mkubwa na wa kisasa ambao umewakuna wabunge wanaohudhuria semina elekezi ya siku kumi, unatekelezwa kwa pamoja kati ya Ofisi ya Bunge na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), huku ukitarajiwa kuathiri biashara ya nyumba za kukodi na hoteli.

Kwa mujibu wa duru za habari za kuaminika kutoka katika semina hiyo kisha kuthibitishwa na Makinda, zilifafanua kwamba hatua iliyofikiwa hadi sasa ni mchoro wa ramani ya eneo la mradi, huku shabaha ikiwa hadi katikati mwakani kuwe na nyumba zilizojengwa.

"Ndiyo, huo mradi tulikuwa tukiujadili hapo ndani (ukumbi wa semina). Ni mradi ambao tutashirikiana na wenzetu wa NHC (Shirika la Nyumba)," alithibitisha Spika Makinda.

Kwa mujibu wa Makinda, kitu cha kwanza kilichokuwa kikifanyiwa kazi ni kupata eneo na sasa kinachofanyika ni michoro.
"Kuhusu gharama bado hatujapata kwa sababu ndio kwanza mradi uko hatua za awali," alisema.
Aliendelea kuwa, NCH kazi yao ni kujenga nyumba hizo huku Ofisi ya Bunge ikijipanga kurejesha fedha hatua kwa hatua kipindi cha miaka isiyopungua sita.

Spika Makinda alifafanua kwamba, wabunge watatozwa kiasi cha fedha kitakachoamuliwa kama sehemu ya kusaidia kurejesha deni hilo hapo baadaye.

Makinda akithibitisha hayo, duru za ndani ya semina zilizidi kuweka hadharani mpango huo kwamba, zitakuwa nyumba 350 ambazo kati ya hizo 200, zitakuwa kwenye muundo wa ghorofa na nyingine 150 za chini na hautakuwa mbali na Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom).

Kwa mujibu wa chanzo hicho huru, ili kuhakikisha nyumba hizo zinabaki kuwa mali ya Bunge, kila mbunge atakaa kwa muda wa miaka mitano na kuongeza: "ikimalizika unaondoka na familia yako."

Source:Mwananchi

Hapa kazi ipo!!!

Hawa watu wasitufanye sisi hazimo hawawezi kuwa wanakaa bure. Kulipa gharama za ujenzi wa hayo majengo kila mbunge anatakiwa awe anakatwa allowance yake ya siku kulipia hayo makazi kila kunapokuwa na kikao cha bunge. Kila mbunge akatwe weather utakaa hapo au utaenda kukaa hotel utakatwa period. Kukaa kwenye hizo nyumba iwe ni mandatory unahudhuria kikao huhudhurii kikao utakatwa kwenye allowance yako ya siku. Swala la kukaa hapo liwe ni mandatory na si hiari. Sio kuchukua kodi yetu mnajineemesha ninyi tu. Makinda ulifahamu hili mapema usituzingue na agenda zako zisizo na mguu wala kichwa. Wabunge wapange hizo nyumba na walipe kodi shw%&&*^^
 
Naona kama ni kitu cha maana ila siyo priority kwa sasa. Nikipiga hesabu kwa nyumba mia mbili itagharimu kama $20m ambazo kwa hela za Tanzania ni shilingi 30billion.

Kwa uwezo wangu mdogo wa kuelewa mambo ningeshauri yafuatayo

1. Kuimarisha miundo mbinu ya elimu
2. Kuimarisha huduma za afya
3. Kuboresha makazi ya walimu na polisi

Mimi sikubaliani na project hii
 
Mimi sikubaliani na project hii

Kwani mmeulizwa kama mnakubali? Uamuzi ulishafanywa na utekelezaji uko mbioni.Hapa mtajadili weeeee! Mwisho wa siku mtalala nakusahau. Jitahidini 2015 nanyi mfaidi...maana kwa mwendo huu hakuna kuhudumia umma bali ni ubinafsi wa wanaopata madaraka. Ndio maana rushwa haitakaa iishe kwenye chaguzi za nchi hii.
 
Polisi nao vipi na full suite zao hii nchi ni chukua chako mapema sasa sie walalahoi sijui tutapata nini:sad::sad::sad:
 
hivi hawa jamaa wana wabunge wangapi?vyama vingapi?
how can we make this to happen in Tz ,kwa sasas mshahara wa mmbunge ni millioni 12 ,mikopo isiyo na riba,mwisho wa ubunge unapata donge nono tu.itakuwa vigumu kuwambia wasipate hizo nyumba na marupurupu kibao ukizingatia wengi wametoa kafara ajira zao,proffession ,pesa za kampeni etc.
Sijui kama walifanya utafiti wa mabunge mengine katika nchi nyingine wanafanyaje kabla y akufikia mradi huu.Nilibahtika kutembelea makazi ya Wabunge wa Sweden huko Stockholm na nilivutika na kitu kimoja.Wana makazi ya kawaida kama hostel na vitanda vyao ni vidogo havizidi hata futi 2x6! nilishangaa sana maana lengo halikuwa kuwapa luxury bali kuwawezeshe kipindi cha bunge wawe kule na kupata mahali pa kulaza ubavu. Kipindi cha bunge kikiisha basi wanarudi makwao - Majimboni.Sasa hawa wetu wakipewa makazi kama haya kuna kurudi jimboni tena ikiwa wanahamia na familia zao?

SOMA HII:
Rent-free homes
For those Swedish MPs who live more than 50km (31m) from the centre of Stockholm, which is most of them, they are entitled to a rent-free second home owned by Parliament.
There are some 250 such apartments in the city and the political parties decide which of their members get one.
They are neither posh nor palatial but MP Jorgen Johannson, who lives in a block just off one of the main shopping streets, says that 50 square metres is plenty for him when he just uses the flat to sleep.
In his own words, he comes to Stockholm to work not to live.
Family members can stay but they have to pay. So nearly all MPs in Sweden have their main homes in their constituencies and a second home, if applicable, in the capital.
There is the option to buy your own pad in Stockholm and claim up to 7000 kronor a month, equivalent to about £600.
But MPs cannot claim for any improvements to their own apartments whereas the state pays for repairs and improvements to their own accommodation.
Instead of taking work home with them, the political parties often allocate new MPs ready-made homes at work.
With their single beds, kitchenettes and en-suite shower rooms, they are reminiscent of student digs.
But in terms of value for money no doubt very cost effective.
There is a daily subsistence rate for MPs representing constituencies outside Stockholm of 110 kronor a day - just under £10 - to cover travel expenses. With an overnight stay, the daily rate is 360 kronor (£31).
No relatives
All the expenses are administered by a Board of the Parliament made up of 10 MPs.
They suggest the rules and Parliament approves them occasionally by a vote. Home office costs are covered but individual MPs don't receive a set staffing allowance.
Instead, the parties they represent get a pot of money which they allocate to their members to cover staffing and other office related expenses.
This means many MPs share researchers and secretarial staff.
Almost no MP in Sweden employs family members. There is no written rule against it but it is just something they do not do.
And just to make sure that Parliament is for working not playing, there are no bars in the building.

So no scenes of drunk Swedish MPs swaying through the corridors of power.
Instead, there is a swimming pool and sauna to relax in after a hard day's work.
 
hizo nyumba za bunge kwa nini zisijengwe majimboni kwao?

good point makandomakando!.... na je wakijengewa hizo nyumba ina maana wahamishe makazi yao kutoka majimboni kwao na kiwenda kuishi dodoma wote? mantiki ya kimwili ya uwakilishi itakuwa wapi? watafikiwa vipi na wananchi wao kwa urahisi? je posho za nyumba nazo zitakatwa au bado zitakuwepo palepale? je utaratibu uliopop sasa una shida gani hadi zijengwe nyumba mpya?
 
Wabunge kujengewa nyumba kama mawaziri
WABUNGE sasa watakuwa na makazi yao maalumu mjini Dodoma maarufu kama Bunge Estate, sawa na ilivyo kwa mawaziri jijini Dar es Salaam na Dodoma, baada ya Spika wa Bunge, Anne Makinda, kuweka bayana mpango huo kwa wawakilishi hao.

Mradi huo mkubwa na wa kisasa ambao umewakuna wabunge wanaohudhuria semina elekezi ya siku kumi, unatekelezwa kwa pamoja kati ya Ofisi ya Bunge na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), huku ukitarajiwa kuathiri biashara ya nyumba za kukodi na hoteli.

Kwa mujibu wa duru za habari za kuaminika kutoka katika semina hiyo kisha kuthibitishwa na Makinda, zilifafanua kwamba hatua iliyofikiwa hadi sasa ni mchoro wa ramani ya eneo la mradi, huku shabaha ikiwa hadi katikati mwakani kuwe na nyumba zilizojengwa.

"Ndiyo, huo mradi tulikuwa tukiujadili hapo ndani (ukumbi wa semina). Ni mradi ambao tutashirikiana na wenzetu wa NHC (Shirika la Nyumba)," alithibitisha Spika Makinda.

Kwa mujibu wa Makinda, kitu cha kwanza kilichokuwa kikifanyiwa kazi ni kupata eneo na sasa kinachofanyika ni michoro.
"Kuhusu gharama bado hatujapata kwa sababu ndio kwanza mradi uko hatua za awali," alisema.
Aliendelea kuwa, NCH kazi yao ni kujenga nyumba hizo huku Ofisi ya Bunge ikijipanga kurejesha fedha hatua kwa hatua kipindi cha miaka isiyopungua sita.

Spika Makinda alifafanua kwamba, wabunge watatozwa kiasi cha fedha kitakachoamuliwa kama sehemu ya kusaidia kurejesha deni hilo hapo baadaye.

Makinda akithibitisha hayo, duru za ndani ya semina zilizidi kuweka hadharani mpango huo kwamba, zitakuwa nyumba 350 ambazo kati ya hizo 200, zitakuwa kwenye muundo wa ghorofa na nyingine 150 za chini na hautakuwa mbali na Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom).

Kwa mujibu wa chanzo hicho huru, ili kuhakikisha nyumba hizo zinabaki kuwa mali ya Bunge, kila mbunge atakaa kwa muda wa miaka mitano na kuongeza: "ikimalizika unaondoka na familia yako."

Wakati wa kukopi Tunisia na Misri ndio huu.

**** them!
 
Mhe. Silaa,
Kama umo ukumbini na unasikiliza , basi hii ndiyo njiti ilivunja uti wa mgongo wa ngamia!
 
Hebu tungoje tuone kama wakina Myika nao wataingia kwenye mtego wa rushwa za nyumba kwa wabunge. Haingii akilini kuwajengea nyumba wabunge ili waishi na familia zao Dododma wakati wanapokuwa Dodoma wanakuwa kazini muda wote juu ya hayo makazi yao sio Dodoma bali kwenye majimbo yao, lingekuwa jambo la busara kama Bunge lingejenga hostel kama pale Veta ambapo wabunge wengi wanakaa wakiwa bungeni; mradi kama huo ungekuwa cost-effective. Makinda ana madeni benki nadhani ameusukuma mradi huu ili apate pa kutokea kulipa hayo madeni!! Huyu kawekwa na mafisadi naye pia ana harufu yao lazima mumstukie kabla hajakubuhu.

Tumeyaona mengi na tutazidi kuyaona.Huu ni uchokozi wa wazi.Nia yao tuuane, wao waishie kwa mabwana zao.Hatuuani ng'o.
 
Jamani najisikia kutokwa jasho kwenye meno! Hivi ukishakuwa mwanasiasa hapa tz akili inaamia wapi? Nini kinakuwa kipaumbele chako! Je ibada yako inageuka na kuabudu tumbo peke yake au nini hasa! Ktk hali tuliyomo huduma za ovyo ovyo kwa walipa kodi (wananchi) bado tunaendekeza starehe kabila hii. Mungu atanusuru na hasira za wananchi
 
Unajenga kijiji halafu unapanga kurudisha fedha yote ndani ya miaka 6??

Nyumba ina fall kwenyei "Long Term investment" huwezi jenga nyumba ya maana na kutegemea kurudisha gharama yote ndani ya miezi 6 kumradhi miaka 6. Miaka 15 - 30 nakubali.
Mradi huu ni wa wizi na una nia na dhumuni la kullibia taifa fedha.

Kwanza wabunge si watumishi wa serikali, kwa nini serikali inajipendekeza kuwajengea nyumba?

NHC inaweza jenga nyumba ili watu wenye hadhi ya wabunge wapange bunge linaweza kutoa mapendekezo ya mchoro bila kuwa na mkono wala pua kwenye gharama za ujenzi. Kuwajengea nyumba wabunge pekee yao ni WIZI uliochangamana na RUSHWA.

Tuna safari ndefu sana ya kufika huko tunakoelekea.

WABUNGE sasa watakuwa na makazi yao maalumu mjini Dodoma maarufu kama Bunge Estate, sawa na ilivyo kwa mawaziri jijini Dar es Salaam na Dodoma, baada ya Spika wa Bunge, Anne Makinda, kuweka bayana mpango huo kwa wawakilishi hao.

Mradi huo mkubwa na wa kisasa ambao umewakuna wabunge wanaohudhuria semina elekezi ya siku kumi, unatekelezwa kwa pamoja kati ya Ofisi ya Bunge na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), huku ukitarajiwa kuathiri biashara ya nyumba za kukodi na hoteli.

Kwa mujibu wa duru za habari za kuaminika kutoka katika semina hiyo kisha kuthibitishwa na Makinda, zilifafanua kwamba hatua iliyofikiwa hadi sasa ni mchoro wa ramani ya eneo la mradi, huku shabaha ikiwa hadi katikati mwakani kuwe na nyumba zilizojengwa.

"Ndiyo, huo mradi tulikuwa tukiujadili hapo ndani (ukumbi wa semina). Ni mradi ambao tutashirikiana na wenzetu wa NHC (Shirika la Nyumba)," alithibitisha Spika Makinda.

Kwa mujibu wa Makinda, kitu cha kwanza kilichokuwa kikifanyiwa kazi ni kupata eneo na sasa kinachofanyika ni michoro.
"Kuhusu gharama bado hatujapata kwa sababu ndio kwanza mradi uko hatua za awali," alisema.
Aliendelea kuwa, NCH kazi yao ni kujenga nyumba hizo huku Ofisi ya Bunge ikijipanga kurejesha fedha hatua kwa hatua kipindi cha miaka isiyopungua sita.

Spika Makinda alifafanua kwamba, wabunge watatozwa kiasi cha fedha kitakachoamuliwa kama sehemu ya kusaidia kurejesha deni hilo hapo baadaye.

Makinda akithibitisha hayo, duru za ndani ya semina zilizidi kuweka hadharani mpango huo kwamba, zitakuwa nyumba 350 ambazo kati ya hizo 200, zitakuwa kwenye muundo wa ghorofa na nyingine 150 za chini na hautakuwa mbali na Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom).

Kwa mujibu wa chanzo hicho huru, ili kuhakikisha nyumba hizo zinabaki kuwa mali ya Bunge, kila mbunge atakaa kwa muda wa miaka mitano na kuongeza: "ikimalizika unaondoka na familia yako."

Source:Mwananchi

Hapa kazi ipo!!!
 
Nitawashangaa wabunge kama watapitisha bajeti kwa ajili ya mradi huu huku wakijua kiwango cha ufaulu wa wanafunzi kimeshuka kwa kiasi cha kutisha fedha hizo zikasaidie kuboresha mazingira ya shule zetu
 
We are not sweden! Hatuhitaji nyumba za wabunge. Level yetu ya maendeleo hairuhusu kuwa ni luxury hata kama nyumba simple kiasi gani!! Tunawalipa Tsh 100,000+ kila siku kwenye kikao! Wanaweza kuchukua chumba cha Tsh50,000 kwa siku kama wanataka ku-enjoy!
Tumezidisha ujinga!!

Sijui kama walifanya utafiti wa mabunge mengine katika nchi nyingine wanafanyaje kabla y akufikia mradi huu.Nilibahtika kutembelea makazi ya Wabunge wa Sweden huko Stockholm na nilivutika na kitu kimoja.Wana makazi ya kawaida kama hostel na vitanda vyao ni vidogo havizidi hata futi 2x6! nilishangaa sana maana lengo halikuwa kuwapa luxury bali kuwawezeshe kipindi cha bunge wawe kule na kupata mahali pa kulaza ubavu. Kipindi cha bunge kikiisha basi wanarudi makwao - Majimboni.Sasa hawa wetu wakipewa makazi kama haya kuna kurudi jimboni tena ikiwa wanahamia na familia zao?

SOMA HII:
Rent-free homes
For those Swedish MPs who live more than 50km (31m) from the centre of Stockholm, which is most of them, they are entitled to a rent-free second home owned by Parliament.
There are some 250 such apartments in the city and the political parties decide which of their members get one.
They are neither posh nor palatial but MP Jorgen Johannson, who lives in a block just off one of the main shopping streets, says that 50 square metres is plenty for him when he just uses the flat to sleep.
In his own words, he comes to Stockholm to work not to live.
Family members can stay but they have to pay. So nearly all MPs in Sweden have their main homes in their constituencies and a second home, if applicable, in the capital.
There is the option to buy your own pad in Stockholm and claim up to 7000 kronor a month, equivalent to about £600.
But MPs cannot claim for any improvements to their own apartments whereas the state pays for repairs and improvements to their own accommodation.
Instead of taking work home with them, the political parties often allocate new MPs ready-made homes at work.
With their single beds, kitchenettes and en-suite shower rooms, they are reminiscent of student digs.
But in terms of value for money no doubt very cost effective.
There is a daily subsistence rate for MPs representing constituencies outside Stockholm of 110 kronor a day - just under £10 - to cover travel expenses. With an overnight stay, the daily rate is 360 kronor (£31).
No relatives
All the expenses are administered by a Board of the Parliament made up of 10 MPs.
They suggest the rules and Parliament approves them occasionally by a vote. Home office costs are covered but individual MPs don't receive a set staffing allowance.
Instead, the parties they represent get a pot of money which they allocate to their members to cover staffing and other office related expenses.
This means many MPs share researchers and secretarial staff.
Almost no MP in Sweden employs family members. There is no written rule against it but it is just something they do not do.
And just to make sure that Parliament is for working not playing, there are no bars in the building.

So no scenes of drunk Swedish MPs swaying through the corridors of power.
Instead, there is a swimming pool and sauna to relax in after a hard day's work.
 
We are not sweden! Hatuhitaji nyumba za wabunge. Level yetu ya maendeleo hairuhusu kuwa ni luxury hata kama nyumba simple kiasi gani!! Tunawalipa Tsh 100,000+ kila siku kwenye kikao! Wanaweza kuchukua chumba cha Tsh50,000 kwa siku kama wanataka ku-enjoy!
Tumezidisha ujinga!!

Muktadha wa mfano wangu umeuelea lakini? Sikutoa mfano kuhalalisha kujenga nyumba hizo. Nimeutoa kuonyesha kuwa maadam kujenga hizo nyumba kumeshatolewa uamuzi, basi wangeangalia cost effectiveness katika kuweka makazi hayo na hata matumizi.
 
Hakuna Mungu anaeweza kubarik Tz, wabunge tumewachagua watutetee, kabla ya bunge kuanya wakanyamazishwa na ahadi ya kujengewa nyumba. Nchi masikini namna hii lakini hakuna mkakti wa kuondoa umaskin ila kujenga nyumba zao. Hakuna hata mmoja mwenye uchungu na Tz. Only MIRACLES will save us from this. With this situation lets agree that Tz will remain poor 4eves, unless we change the system
 
Hili ni sawa, lakini halikidhi viwango vya matatizo yaliyopo. Waalimu, manesi na wengine wenye kipato cha chini na hawawezi kujenga achana na kipato chao, hata kwa mkopo ndiyo wangepaswa kujengewa hizo nyumba. Hii ingesaidia ku replace nyumba alizouza Mkapa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom