stigajemwa
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 449
- 430
Kwa hali ilivyo na kwa jinsi raisi wetu alivyotushauri kuwa ukimwambia afanye kitu fulani ndio hafanyi kabisa.Hivyo nawashauri wabunge wajikite kwenye bajeti iliyopo mbele yao.
Nasema hivi nikifahamu kabisa kuwa mambo ya dharula yanayojitokeza yana maslahi kwa taifa na pia bajeti iliyopo mezanni ina maslahi mapana kwa taifa.Tatizo naloliona ni kwamba serikali ya Magufuli kamwe haiwezi fanyia kazi mambo iliyopangiwa na mtu mwingine.Hivyo haiwezi unda tume wala kuruhusu mambo ya utekaji kuwa agenda ya bunge.Nahata ikiruhusu kufanya hivyo taarifa ya tume au mijadala hiyo haitafanyiwa kazi,hii ni kwa mujibu wa ushauri aliotupa raisi kwamba yeye hapangiwi cha kufanya na mtu yeyote au taasisi
Hivyo ni vyema wabunge wanapochangia wajikite zaidi kwenye bajeti,na muda wao mwingi wautumie kuochambua bajeti ili tuweze pitisha bajeti yenye maslahi mapana kwa taifa.Vinginevyo kwa hali ilivyo,huenda tukaja shituka bajeti imepita.Bajeti ambayo haijazingatia mambo yanayogusa maisha yetu ya kila siku kama kilimo,elimu,ajira na nyongeza za mishahara
Haya yakitokea maana yakr tutakuwa tumekosa vyote,yaani hakuna kitskachofanyika kuhusu huu utekaji na upotezwaji unaoendelea kwakuwa huenda ni mbinu mpya ya serikali kunyamazisha wapinzani wake na kuwatoa kwenye mstari.
Pia hakuna kitakacho badilika kuhusu bajeti iliyowasilishwa na serikali hata kama ina mapungufu kiasi gani