Wabunge, Ili kushinda vita hii kirahisi muanze na huyu naibu spika

Unesahau wanavyomkimbia na kuweka makaratas midomoni

Hawamkimbii wanamuelimisha,na yeye anajua vizuri kwamba anafanya ndivyo sivyo.Binadamu tumeumbwa na uso wa aibu,tutafanya kila jambo lakini mwisho wa siku tutapigwa na aibu
 
Back
Top Bottom