Wabunge hawajui kanuni za bunge au wanataka kuwafurahisha wapiga kura? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge hawajui kanuni za bunge au wanataka kuwafurahisha wapiga kura?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Jun 20, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Mara kadhaa Wabunge wamekuwa wakikiuka kanuni za bunge kwa kuacha kuchangia hoja na badala yake kutoa lugha za matusi, kejeli na kufedhehesha.
  Je Wabunge hawajui kanuni za bunge au wanataka kuwafurahisha wapiga kura wao? Je watanzania tumekuwa dhaifu kiasi hicho cha kufurahia madudu ya wabunge hawa?
   
 2. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  swali zuri kama ukimuuliza Komba, Lusinde na Nchemba
   
 3. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Tatizo akili ndogo inataka kutawala akili kubwa!msigwa amenena jana.
   
 4. O

  Orche Senior Member

  #4
  Jun 20, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 146
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kanuni zenyewe zimetengenezwa kwa ajili ya watu fulani na si kuongoza bunge kwa haki!
   
Loading...