Wabunge hawa wako hoi majimboni mwao, hawatashinda 2015 ... ongezea orodha

MNYISANZU

JF-Expert Member
Oct 21, 2011
7,048
1,102
Wanabodi. Ni vema tukataja list ya wabunge ambao wako hoi kisiasa majimboni mwao na uwezekano wa wao kurudi bungeni baada ya uchaguzi wa 2015 ni finyu. Wabunge hawa ni either wameshindwa kutekeleza ahadi zao kwa wananchi au wamepoteza mvuto kwa wananchi wa majimbo husika. Orodha yenyewe ni hii;
1. Makongoro Mahanga - Segerea
2. Salome Mwambu - Iramba mashariki
3. Gosbert Blandes - Karagwe
4. Stephen Masele - Shinyanga mjini
5. Steven Wassira - Bunda
6. Nyambari Nyangwine - Tarime
7. Prof. David Mwakyusa - Rungwe Magharibi
8. Benedict Ole Nangoro - Kiteto
9. Goodluck Ole Medeye - Arumeru magharibi
10. ... endeleza list
 
Wanabodi. Ni vema tukataja list ya wabunge ambao wako hoi kisiasa majimboni mwao na uwezekano wa wao kurudi bungeni baada ya uchaguzi wa 2015 ni finyu. Wabunge hawa ni either wameshindwa kutekeleza ahadi zao kwa wananchi au wamepoteza mvuto kwa wananchi wa majimbo husika. Orodha yenyewe ni hii; 1. Makongoro Mahanga - Segerea 2. Salome Mwambu - Iramba mashariki 3. Gosbert Blandes - Karagwe 4. Stephen Masele - Shinyanga mjini 5. Steven Wassira - Bunda 6. Nyambari Nyangwine - Tarime 7. Prof. David Mwakyusa - Rungwe Magharibi 8. Benedict Ole Nangoro - Kiteto 9. Goodluck Ole Medeye - Arumeru magharibi 10. ... endeleza list

mkuu' husimwamushe aliyelala...
 
Zungu Ilala
Wanabodi. Ni vema tukataja
list ya wabunge ambao wako hoi kisiasa majimboni mwao na uwezekano wa
wao kurudi bungeni baada ya uchaguzi wa 2015 ni finyu. Wabunge hawa ni
either wameshindwa kutekeleza ahadi zao kwa wananchi au wamepoteza mvuto
kwa wananchi wa majimbo husika. Orodha yenyewe ni hii; 1. Makongoro
Mahanga - Segerea 2. Salome Mwambu - Iramba mashariki 3. Gosbert
Blandes - Karagwe 4. Stephen Masele - Shinyanga mjini 5. Steven Wassira -
Bunda 6. Nyambari Nyangwine - Tarime 7. Prof. David Mwakyusa - Rungwe
Magharibi 8. Benedict Ole Nangoro - Kiteto 9. Goodluck Ole Medeye -
Arumeru magharibi 10. ... endeleza list
 
mkuu' husimwamushe aliyelala...
Mkuu tunawaamsha wapinzani wao wa kisiasa kujiandaa kuyachukua hayo majimbo na pia wasije wakayarudia makosa yaliyofanywa na watangulizi wao.
 
Back
Top Bottom