Wabunge hawa wa CHADEMA ni janga kubwa

Nakushauri utembelee kijiji cha Msoga nyumbani kwake Kikwete uone tofauti kati ya Hekalu lake na full suit (Kigoma zinaitwa ngondano) na nyumba nyingi kijijini hapo zinazoonyesha ufukura uliokithiri. Watanzania wengi hali zao ni mbaya sana, wengi hawana hata uhakika wa milo miwili kwa siku. Huwezi amini utajiri wa raslimali zilizopo nchini.

Kumbuka Kikwete nini mwenyekiti wa CCM. Kwa maelezo yako ni kwamba CCM hawafai kuongoza Tanzania tena.
Nakushuri uwe unakumbuka kunawa uso kabla ya kuja JF.
 
GT naomba mkae kimya hapa, baada ya mnyika, anatakiwa arudi huyo mtu. JF sasa imekuwa mahala pa kutupia mawazo finyu!! Mh JM angeweza kupewa maswali ya maana angejibu kwa manufaa ya wengi. Hebu tuwa aache wanaojua nini kiefanywa Ubungo wajibu, hivyo Mh MB JM, na wa hapo Ubungo siyo kila mtu. Sisi wote tunaopost kwenye ugolo kama huyo ndo chanzo!!
 
Nimependa ulivyojibu Mnyika kwa hoja bila jazba. Ungekaa kimya tungedhani yana ukweli angalau kiduchu aliyosema huyu jamaa lakini sasa umeclear slightest doubt if any!!
 
Bwana Kimbunga Nakushukuru sana kwa maoni yako, nakushauri uanze kwanza kukusanya saini za watanzania siku ya uhuru tarehe 9 Disemba 2012 tunaposheherekea miaka 51 ya Uhuru bila ya maji katika majimbo mbalimbali nchini (Ubungo likiwa na afadhali kuliko majimbo mengi nchini na hata baadhi ya majimbo la Dar es salaam).

Kuhusu kazi nilizofanya katika kipindi cha miaka miwili niliyokuwa mbunge unaweza kuzisoma tu hapa: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...su-kazi-za-maendeleo-jimboni-ubungo-amua.html , lakini kama ni mwananchi wa Ubungo ulipaswa kuwepo wakati nafanya ziara jimboni na DAWASA, DAWASCO kushughulikia matatizo ya maji na hatimaye ziara na Waziri wa Maji Prof. Maghembe kuzindua miradi ya maji. Nikodekeze tu kwamba pamoja na kazi hizo tulizofanikisha bado naendelea kuwatumikia, juzi nimewasilisha hoja binafsi ya maji Dar es salaam kwa halmshauri ya jiji, nasubiri mkutano wa baraza la madiwani ijadiliwe kuongeza msukumo wa hatua za haraka. Kumbuka, mkutano uliopita wa bunge niliwasilisha lakini ratiba ilibana haikujadiliwa, fuatilia mkutano ujao wa Bunge mwezi Februari utaona kitakachotokea.

Umeandika maneno yasiyokuwa ya ukweli kwamba toka nichaguliwe kazi yangu imekuwa kwenda Ulaya na Marekani kufungua matawi ya CHADEMA; kwa taarifa yako sijawahi kwenda kufungua tawi lolote Ulaya na Marekani miaka miwili ambayo nimekuwa mbunge (Lakini nitakwenda). Kwa sasa nikifanya ziara za kichama ni jimboni Ubungo, unaweza kufuatilia hapa ya karibuni: JOHN MNYIKA: Ziara ndani ya Jimbo iliyofanyika Desemba 1, 2012: Kimara na Saranga au vijijini katika mikoa mbalimbali nchini. Kama wabunge uliotutaja ni janga la taifa, nitajie wabunge ambao sio janga la taifa.

JJ
Kiongozi Samahani sana, nitaanza kuwadharau wewe pamoja na Dr Slaa kwa sababu mnajishughilisha kujibu hoja za kijinga na za kutoka kwa mapunguani wa akili. Nimesikitishwa sana kuona mtu wa viwango kama Dr Slaa kumjibu mpumbavu kama Nape Nnauye na kibaya zaidi ni hoja za kijinga kabisa kutoka kwa Nape.

Naomba achana na watu wehu kama hawa si wa viwango vyako.
 
Kwa kweli nyerere ataendelea kuwa model wangu katika taifa letu! Nyerere alisema taifa letu linakabiliwa na maadui watatu,umasikini,ujinga na maradhi. Na bado maadui wote bado wapo, ujinga ni janga kubwa la taifa letu, inawezekana watanzania baadhi wamepata vyeti,lakini bado ni wajinga sana,hivi kazi ya mbunge ni kujenga barabara? Au kuleta maji? Anayeamini hayo bado ni mjinga hata kama ni phd holder. Kazi ya serikali ni kujenga barabara,kuleta maji nk. Serikali inafanya haya kwa sababu inakusanya kodi. Hakuna mtu mwingine yeyote haruhusiwi kukusanya kodi isipokuwa serikali. Ccm wameharibu taifa hili kwa njia nyingi. Kwanza wamewafanya watanzania waamini kwamba kazi ya mbunge ni kujenga barabara,kugawa kanga nk. Ccm kuendelea kutawala tanzania ni kuendeleza ujinga kwa watanzania!
 
Kamanda JJ Mnyika usipoteze muda na huyu jamaa,anajua kila kitu kua we ni jembe ila anatumika na magamba kupotosha ukweli.Katumwa na mropokaji mwenzie Nape huyo.
 
Naunga mkono hoja huku ubungo hali ni mbaya kazi yao ni kupiga domo matendo hakuna

mkuuu si jimbo la ,myika linamatatizo nenda kinononi kama utakuta maji,nenda tandika kama kuna maji nenda jimbo la spika makinda kama linamaji mkuu swala la maji ni la serekali kupitia kodi zetu serekali inanunua mavx inaacha kujenga visima
 
Bwana Kimbunga Nakushukuru sana kwa maoni yako, nakushauri uanze kwanza kukusanya saini za watanzania siku ya uhuru tarehe 9 Disemba 2012 tunaposheherekea miaka 51 ya Uhuru bila ya maji katika majimbo mbalimbali nchini (Ubungo likiwa na afadhali kuliko majimbo mengi nchini na hata baadhi ya majimbo la Dar es salaam).

Kuhusu kazi nilizofanya katika kipindi cha miaka miwili niliyokuwa mbunge unaweza kuzisoma tu hapa: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...su-kazi-za-maendeleo-jimboni-ubungo-amua.html , lakini kama ni mwananchi wa Ubungo ulipaswa kuwepo wakati nafanya ziara jimboni na DAWASA, DAWASCO kushughulikia matatizo ya maji na hatimaye ziara na Waziri wa Maji Prof. Maghembe kuzindua miradi ya maji. Nikodekeze tu kwamba pamoja na kazi hizo tulizofanikisha bado naendelea kuwatumikia, juzi nimewasilisha hoja binafsi ya maji Dar es salaam kwa halmshauri ya jiji, nasubiri mkutano wa baraza la madiwani ijadiliwe kuongeza msukumo wa hatua za haraka. Kumbuka, mkutano uliopita wa bunge niliwasilisha lakini ratiba ilibana haikujadiliwa, fuatilia mkutano ujao wa Bunge mwezi Februari utaona kitakachotokea.

Umeandika maneno yasiyokuwa ya ukweli kwamba toka nichaguliwe kazi yangu imekuwa kwenda Ulaya na Marekani kufungua matawi ya CHADEMA; kwa taarifa yako sijawahi kwenda kufungua tawi lolote Ulaya na Marekani miaka miwili ambayo nimekuwa mbunge (Lakini nitakwenda). Kwa sasa nikifanya ziara za kichama ni jimboni Ubungo, unaweza kufuatilia hapa ya karibuni: JOHN MNYIKA: Ziara ndani ya Jimbo iliyofanyika Desemba 1, 2012: Kimara na Saranga au vijijini katika mikoa mbalimbali nchini. Kama wabunge uliotutaja ni janga la taifa, nitajie wabunge ambao sio janga la taifa.

JJ
ngoja nikupe list wabunge ambao mdogo wangu mnyika unatakiwa uwaige ktk utendaji wako
  1. MWIGULU LAMECK NCHEMBA
  2. LIVINGSTONE LUSINDE
  3. NAPE NNAUYE(MB MTARAJIWA WA UBUNGO)
ila mimi kura yangu sikupiiiiiiiiiii ngo! kwanza uliiba k_ra z_tu kwa kutumia laptop yako
 
Mh Mnyika usihangaike na watu kama hawa,huyu Kimbunga kupita keyboard yake tumeshamjua ni mtu wa aina gani.next time kamanda usihangaike kumjibu mtu kama huyu,huenda alikuwa kalazwa ICU katoka akawa amei-miss JF na akakuruupuka kuandika.maana hata kama angekuwa nje ya nchi bado kuna mawasiliano.mwenzetu huyu nadhani hakuwa sehemu ya kawaida.
Du Kimbunga una maana Livingstone Lusinde,kina Mwigulu Nchemba,nk hao sio Janga la Taifa,hata Wassira nae sio janga.
 
ngoja nikupe list wabunge ambao mdogo wangu mnyika unatakiwa uwaige ktk utendaji wako
  1. MWIGULU LAMECK NCHEMBA
  2. LIVINGSTONE LUSINDE
  3. NAPE NNAUYE(MB MTARAJIWA WA UBUNGO)
ila mimi kura yangu sikupiiiiiiiiiii ngo! kwanza uliiba k_ra z_tu kwa kutumia laptop yako
hapo umeniacha hoi nape apewe ubunge ubungo!! Labda mbunge wa kuteuliwa!
 
jamaa anakubalika kinoma akigombea jimbo lolote lile lazima apate

Labda jumbo na c jimbo!,hv wewe unafkiri wananch ni vilaza kias gan had wakubali kumchagua NAPE?C Bora wachague jiwe?.Ni bora wabaki empty.Hv mtu mwenye empty set brain kama huyo ataenda kuongea nin hata bungeni?
 
Hapa ni kujenga hakika na ni wakati wenyewe ndiyo huu!!!!!!!!!! Nimeipenda hapa sana!
 
Mkuu upo sawa kabisa lakini yaliyoshindikana miaka 50 yatawezekanaje kwa miaka5. au wewe ndo janga huoni hiilo. anza na hawa waliokuwa madarakani kwa 50 miaka.
 
ngoja nikupe list wabunge ambao mdogo wangu mnyika unatakiwa uwaige ktk utendaji wako
  1. MWIGULU LAMECK NCHEMBA
  2. LIVINGSTONE LUSINDE
  3. NAPE NNAUYE(MB MTARAJIWA WA UBUNGO)
ila mimi kura yangu sikupiiiiiiiiiii ngo! kwanza uliiba k_ra z_tu kwa kutumia laptop yako

Kwa watu wenye mawazo mgando kama wewe tanzania kupata maendeleo endelevu itachukua miaka 100 ijayo.Who iz nchemba?Who is Nape?Who is Lusinde?,They r Nothng kwa watanzania zaid ya matusi,kabobo na dharau kwa watz!.C mkubali kushndwa eny magamba.Kichwa chako hakifikirii kwa makin bali unafugia nywele Over.
 
Hamna haja ya kumjibu huyu mwehu muanzisha mada na akili zake za samaki
 
nakushukuru Mnyika kwa kumpa mifano michache, atuambie wabunge kutoka nyota ya kijani wamefanya nini! sina maneno mabaya ya kumwabia huyu kijana lakini ni ugolo,anataka sifa kwa nepi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom