Wabunge Halima Mdee na Esther Bulaya wamefurahi Kanumba kufa?

...Laiti kanumba angefufuka leo ghafla ilimfaa afunguliwe kesi ya ubakaji yeye na huyo mdogo wake kama walivyofanyiwa akina babu seya...Lulu mwenye miaka chini ya 18 kanumba alikuwa anafanya nae nini usiku ule...kwa nchi inayofuata bora misingi ya sheria na mahakama zisizoingiliwa, Lulu ilibidi awe huru ndani ya siku 30 tu...Lulu ana haki ya kutetewa kisheria..mimi nadhani mtoa mada ameandika mada hii akiwa uchi amejifungia katika choo cha shimo maana hata aibu haoni kwa kuwakejeli akina Mdee.


Hapa watafungwa wengi. kapteni Komba na Idd Azan nao wanamkula Lulu, nao ni wabakaji kwa ufupi. Lulu lazima alindwe na wakina Mdee maana akiachwa akateseka jela, atatoboa siri za waheshimiwa wengi. itakuwa AIBU KUBWA.
 
Kuna kashfa ya usagaji kati ya hawa wabunge wawili ambayo ilipingwa sana ila kiukweli Bulaya ni (mke) wa Halima na nijuavyo mimi Lulu kamchezo hako anakafanya pia. Unganisha dots...................
 
Mtu na akiri zako unatuletea mambo ya kijinga ya kanumba wakati nchi ina matatizo kibao yanayohitaji utatuzi,wtz hovyo sana
 
mleta mada nina swali kwako, una uhakika kuwa lulu alimuua kanumba? lulu ni mtu pia, sio kwa kuwa jamaa ni marehemu ndo unafikiri basi lulu afe,au anyongwe,anadeserve fair trial!!please think beyond your television
 
Subirini muone anavyotoka kiulaini. Natamani kesi hiyo ningekuwa namtetea Lulu!
 
Watu,

Tuache mihemko(emotions) ili tuweze kuwa Objective......

Tatizo la akina Mdee na Bulaya ni nini? Lulu ana haki ya kupewa msaada wa kisheria na kisaikolojia.

Ukisoma hii thread utaona jinsi gani watu hawaelewi "right to counsel", "innocent until proven guilty" wala concept nzima ya due process.
 
Atakoma kulinga. Haki inaanzia hapa hapa duniani. Lazima ahukumiwe kama stahili yake, mtoto hana nidhamu hata chembe, mfano mbaya kwa wake zetu.

Mwaka jana alifanya sherehe ya kufikisha miaka 18 na akahojiwa na akina Zamaradi..zile clips zaweza patikana!!amemaliza form 4 mwaka jana Midway secondary school kule umri wake unaonekana!!
 
Atakoma kulinga. Haki inaanzia hapa hapa duniani. Lazima ahukumiwe kama stahili yake, mtoto hana nidhamu hata chembe, mfano mbaya kwa wake zetu.

Na ole wao hao wanaoleta ma-vyeti bandia kuidanganya mahakama, kwenye issue ya umri wamechelewa, watafute pengine pa kushikilia.
 
ngoja mbishane weee mwisho wa siku mtashangaa hukumu itakayo tolewa inaawacha mdomo wazi kama ya zombe.
Ataachiwa kiulaini, hayo mambo ya kwamba alifanya sherehe ya kutimiza miaka 18, sijui alihojiwa akasema ana miaka 18 kwenye radio si ushaidi ambao unaweza kubarika mahakamani labda birth certificate, na vyeti vya shule.
Halafu eti mtoto mbona alikuwa anaenda club, anagongwa na akina sijui azam, komba sijui nani kwa hiyo kanumba hakumbaka.
Haijalishi hiyo sheria haiangalii hilo, we kisa umeona mtoto anagongwa na mzee usidhan ukimgonga ukapelekwa mahakamani utajitetea kwamba huyu mbona anagongwa na flani huo si utetezi.
Na kama itathibitka yuko chini ya miaka 18, sheria inamlinda kibao kinaweza mgeukia marehemu kwamba alimbaka kwasababu chini ya miaka 18 ni mtoto, haijalishi kakubari au umemleta, interpretation yake ni kwamba umembaka.
Halima mdee hakusema kwamba aachiwe tu, bali alisema kwamba anahitaji msaada ili haki iweze kutendeka. Na mimi nakubariana nae kwasababu watu washaanza muhukumu as if walikuwepo na wanajua kipi kilitokea yani watu wanalopenda kusikia ni lulu kafungwa iwe ushaidi unaonesha hakuua au kaua wao hawajali wamekazania afungwe.
Na mwisho mahakama haiangalii public inasema nini, mahakama ina base on facts na sheria inasemaje. Kama ikiwa huru msishangae hukumu ikawa tofauti na matarajio ya wengi
 
Namkumbuka Mwanasheria mmoja Marekani ameifanya Dunia kuamini Wanasheria ni watu hatari sana.Kama nakosea (may be vise versa is true) nisahihishwe.O.J Simpsoni alikamatwa red-handed kaua mtu tena kwa bastola makusudi mazima."Uhuni" [joke] wa wanasheria ndipo ulipoanzia,Jamaa alitetewa na Mwanasheria akaonekana sio kwamba hana hatia ila yeye ndio alitaka kuuawa,na hivyo ndugu wa marehemu kutakiwa kumlipa na fidia.Nyie subirini muone haka kadogo kangangu katavyopolochoka kwenye huu msala,wanasheria sio watu ati!!!

Mkuu nikusahihishe kidogo.. O.J Simpson hakukamatwa redhanded.. Alikamatwa baadae baada ya police kufanya uchunguzi kwenye crime scene na kukuta clues zikimdodondekea OJ.. Yeye OJ alikuja kukamatwa baadae kwenye car chase ambayo ilionyeshwa live world wide huku akiwa amejishikia bastola kichwani akitishia kujiua.. Walichofanya wanasheria wake waligundua kuwa yule ofisa wa polisi aliefanya uchunguzi kwenye crime scene alikuwa na tabia za ubaguzi dhidi ya watu weusi so ilikuwa rahisi kwa jurors kuona ya kuwa ushahidi ulipandikizwa.. Na factor nyingine ni kwa prosecutors kushindwa kuwasilisha mahakamani hicho kilichotumika kuwaua marehemu.. But final nail in da coffin ilikuwa pale OJ alipojaribu gloves ambazo inadaiwa alizivaa kabla ya kutenda tukio la mauaji na ambazo zilikutwa kwenye crime scene na kuonekana kabisa gloves zile zimembana na icingewezekana kuwa zake..
Na sheria inawataka watoa hukumu kutoa huku pale wanapothibitisha pasi na shaka.. yaani beyond any reasonable doubt.. Kama kukiwa na shaka yeyote japo ndogo sheria inampendelea mtuhumiwa.. Wanasheria wa utetezi kazi yao ndo hiyo kuweka doubts na ndivyo walivyofanya Marehemu Johnnie Cochran & co.. So hata hapa itakuwa hivyo hivyo.. Ukiangalia rumours zote zinazozunguka hakuna hata moja ambayo kama ikiwa ni kweli itaweza kumtia hatiani Lulu.. Soon ataachiwa huru..
 
Tatizo katika suala la kifo cha Kanumba ni watu kusukumwa zaidi na mapenzi yao kwa huyo msanii na chuki kwa Lulu. Lulu kapewa jina la umalaya, kwa hiyo kila baya linamhusu yeye na marehemu kwao ni malaika.

Kubaka ni kubaka tu, hata kama ni malaya, kama hataki ukilazimisha wewe ni mbakaji, hata awe na miaka mia kama hataki ukalazimisha kumwingili wewe ni mbakaji tu.

Kama ni kuharibika kwa Lulu basi marehemu kachangia kwa sababu ndiye aliyekuwa mlezi wake kwenye hiyo sana.

Wanaume wengi wana upofu wa masuala ya mapenzi, wanadhani mwanamke anayetajwa kuwa rahisi basi ni kwa kila mtu, nature haiko hivyo, au ukiwa maarufu basi utampa kila mwanamke, nature haiko hivyo.

Huyu biti ameonewa sana na jamii kwa kumhukumu pasipo kuwa na uhakika na wa tukio lenyewe.

Nawapongeza kina Mdee kwa kuweka wazi msimamo wao kumsaidia huyo binti, mbona wenye kulalia kwa marehemu hawalaumiwi!!

Subirini afunguke mubaki midomo wazi!!
 
Back
Top Bottom