Wabunge Halima Mdee na Esther Bulaya wamefurahi Kanumba kufa?

Wana JF ukweli ni huu: Simu iliyomuua KANUMBA ni kwamba LULU alikuwa anachati na Mheshimiwa ZITTO ZUBERI KABWE. Kanumba akiwa bafuni alimsikia LULU akise ZITTO KABWE I LOVE YOU THAN ANY BODY and TAKE A KISS MWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA. I miss you ZITTO KABWE. KANUMBA is just for short time but you ZITTO KABWE is FOR FOREVER. Baada ya kusikia hivyo kanumba alitoka bafuni na mapovu yake bila kujifuta na ndio mapovu ambayo madaktari waliyaona kwa kanumba. Halima Mdee ndio kuwadi wa Zitto aliofanikisha mpango wa zitto kumapta LULU kimapenzi, alijifanya kuwa rafiki wa mama lulu kumbe moyoni ana lake jambo. Hivi sasa zitto na halima wamefoji cheti cha kuzaliwa lulu kwa lengo la kumkomboa lengo akitoka zitto amuoe lulu na kuondokana swala la lulu kuwa nyumba ndogo ya zitto kama ilivyokuwa awali. WANA JF Mwenye akili haambiwi fikiri. unazani msukumo wa zitto kwa kufoji vyeti vya lulu ni bure. nitafuteni kwa namba 0757755333

This's da most bizarre.. eccentric.. flakey.. flaky.. freakish.. gonzo.. off da wall.. outlandish and outre story i hv ever heard..!!
 
Mie binafsi najua lulu anahaki ya kutetewa lakini la Halima kijiingiza huko naona si sawa madhara yake ni makubwa kisiasa kwa upande wake kuliko faida atakayopata (sifa)
 
Nimecheki coment yako sijaona hoja. ingependeza usichangie. Doubts hizo ndo maana tunataka mahakama itupe jibu. Alifanya BD alipofikisha 18 na kuitangaza in public, tuamini alidanganya umri akapata leseni, tuambie ni kwanini asidanganye kuback date cheti cha kuzaliwa? Stil credible?
Mnaboa sana na inawezekana wewe huna b/cert, laiti ungekuwa nayo ungekaa kimya au kama vp nenda Rita ujue how simple it is.

Pole, unabahati mbaya sana, na huenda wewe ni mmoja ya watu walioenda kufanya fujo polisi osterbay kutaka mtuhumiwa atolewe ili wamuue, kwa faida yako tu coz najua hujui, daima aliekuwa na marehemu mara ya mwisho kabla ya kukutwa na umauti wa gafla, huwa ni mtuhumiwa wa kwanza kwenye mauaji husika, ndo mana hata wale wanaofia gesti (mfano yule mzee wa arusha, Ditopile) wale waliokuwa nao wanasumbuliwa na polisi hadi pale ushahidi unapokamilika. mlishabikia Zombe muuaji mkataka anyogwe mbona leo mpo kimya. Ushasukumizwa mara ngapi na kuanguka? mbona kujafa? nakushauri uuzuie moyo wako usiongozwe na hulka na hasira coz unahatarisha afya yako, wengine wapepata pressure kwa ajili ya hasira.
 
Mimi nimesikitishwa na wewe kusikitishwa na uliowataja kisa tu, wanamtazamo tofauti na wako? ulitaka waseme wanamtia hatiani? mbona walioenda kufanya fujo osterbay polisi kituoni hawajakusikitisha kuwa wanaingilia uhuru wa polisi na mahakama?, mbona madaktari waliotoa ripoti kuwa marehemu hakuwa na jeraha lolote (ili hali mnaamini alisukumizwa na kuanguka vibaya) hawajakusikitisha kuwa wanaingilia uhuru wa mahakama? mbona mdogo wake marehemu aliekiri marehemu ndiye alimwita mtuhumiwa na alipotoka na simu nje akamrudisha ndani, husikitiki kuwa anaingilia uhuru wa mahakama?
Acha unazi kwa Lulu, kama watunga sheria wananza kuwa wanaharakati ni tatizo wao wangekaa kando sheria ichukue mkondo wake si kuanza kuutangazia umma kwa wanataka kumnasua wao ndio waliomtuma kuna watuhumiwa wangapi wakike nchini wenye kesi kama ya Lulu?
 
Wana JF ukweli ni huu: Simu iliyomuua KANUMBA ni kwamba LULU alikuwa anachati na Mheshimiwa ......................................................................................................................................................................................................WANA JF Mwenye akili haambiwi fikiri. unazani msukumo wa zitto kwa kufoji vyeti vya lulu ni bure. nitafuteni kwa namba 0757755333

Too low broda
 
Tatizo lako ni Kufikiria kwa Makalio ambayo hayajatawazwa watu watarajie nini kutoka kwako? Fikra pumba zenye harufu ya Chooni?

Ungeweka Maneno ya Wabunge, Ungeweka ni kwa namna gani wataathiri mwenendo wa Kesi na Ungetuambia ni kwa nini Lulu hastahili watetezi.

La Sivyo Katawaze ili fikra zako zitakaswe

jamani mbishane kwa hoja basi, maana kila mtu akianza kuporomosha mitusi hapa kama tupo kwenye kampeni patakalika kweli? wakati mwingine mtu anaweza kuongea kitu kikakuudhu ila sasa mitusi inazidi. yaani hapo umeanza kitangulizi. NIWALAMBE NISIWALAMBE? taratibu jamani.
 
Pole, unabahati mbaya sana, na huenda wewe ni mmoja ya watu walioenda kufanya fujo polisi osterbay kutaka mtuhumiwa atolewe ili wamuue, kwa faida yako tu coz najua hujui, daima aliekuwa na marehemu mara ya mwisho kabla ya kukutwa na umauti wa gafla, huwa ni mtuhumiwa wa kwanza kwenye mauaji husika, ndo mana hata wale wanaofia gesti (mfano yule mzee wa arusha, Ditopile) wale waliokuwa nao wanasumbuliwa na polisi hadi pale ushahidi unapokamilika. mlishabikia Zombe muuaji mkataka anyogwe mbona leo mpo kimya. Ushasukumizwa mara ngapi na kuanguka? mbona kujafa? nakushauri uuzuie moyo wako usiongozwe na hulka na hasira coz unahatarisha afya yako, wengine wapepata pressure kwa ajili ya hasira.

Hujanielewa concern yangu mkuu. Siwezi ua mtuhumiwa wkt nafahamu presumption of innocence. Tungependa fair trial ifikiwe. Itafikiwa kwa kuwa na uchunguzi huru na mahakama competent iliyo huru pamoja na defence makini. Kesi bado, watu wanadaka walead mashtaka. Watanzania tujifunze kuheshimu utawala wa sheria. Huu ndo msingi, wanasiasa wa leo watapita, lkn utawala wa sheria utadumu na kimsingi ndio wenye tija kwa kizazi cha sasa na kijacho. Tuachane na double stds na umaarufu wa kuokoteza. Hilo tu mkuu.
 
Lulu hana kesi ya kujibu,kimazingira inaonesha wazi kabisaa,hawawezi mkumtia hatiani hata kwa kesi ya manslaughter,ila walichofanya ni kumhifadhi kumuepusha na shari ya wasanii au wapenzi wa mwenda kesi hiyo haihitaji hata wakili ni kupoteza fedha bure,kajikwaa mwenyewe na kufa,
 
Inakera Mkuu kuona Watu wanamalizia hasira zao kwa Haka Kabinti. Hivi ngoja Nikuulize. Kosa la Haka Kabinti ni Lipi hasa?

Mi naomba nichangie kwa kuzingatia utu kuliko jinsi wengi mnavyoonekana mnajua sheria. Mimi ni mgeni JF lakini kama vile wengi hamfikirii sana: Hivi mtu kuwa na under 18 ni kitu cha kusifia? Alafu kwa kawaida kama mtu yuko under 18 tunaamini hata uwezo wake wa kupambanua mambo ni finyu ukilinganisha na mtu mzima. Hivyo kweli Kanumba kafariki na mimi kama kiongozi wa dini naumia sana maana hakuna mtu anayetakiwa kufurahia kifo cha mtu hata kama alikuwa na makosa.

Lakini je, huyu mtoto mdogo aliyefikishwa kwenye mambo makubwa na huyu marehemu tusemeje? Mmesikia mara zilikuwepo pombe kali, mara kupigiwa simu na watu maarufu, huku marehemu anamgombeza kwa mapenzi, n.k. kama mnavyoyajua mengi. Je huyu mtoto anao uwezo wa kuyabeba hayo yote kweli? Mimi sisemi hana kosa ila ukitazama kwa makini haya mambo yote aliyobebeshwa mtoto huyu kwa muda mfupi hakika yanamzidi uwezo. Na makosa ya hao wanaomzidi uwezo lakini wanamlazimisha awe sawa na wao.

Hivi unafikiriaje mtoto wa mtoto mdogo kumudu wapenzi zaidi ya mmoja tena wote maarufu/masupa star? Mtoto huyu asiangamizwe na kufikiri ni haki, hata marehemu na hao waliosalia anaowafahamu lulu pia wana makosa makubwa. Hivyo kwa kuwa amekufa tusione ni sawa kumwangushia kila lawama mtoto huyu lulu. Mtoto huyu ana haki ya kuetetwa na kurekebishwa jamani.
 
Naombeni mumsikilize kwa umakini sana huyu mtoto asiye na
hatia.

 
Last edited by a moderator:
Lulu hana kesi ya kujibu,kimazingira inaonesha wazi kabisaa,hawawezi mkumtia hatiani hata kwa kesi ya manslaughter,ila walichofanya ni kumhifadhi kumuepusha na shari ya wasanii au wapenzi wa mwenda kesi hiyo haihitaji hata wakili ni kupoteza fedha bure,kajikwaa mwenyewe na kufa,
Wewe ulikuwa humo chumbani alimofia Kanumba
 
Nimesikitishwa na kauli zilizotolewa na wabunge Halima Mdee (CHADEMA) na Esther Bulaya (CCM) kusema kwamba wanataka KUMNASUA Elizabeth Machael (Lulu) anayetuhumiwa kusababisha kifo cha Kanumba. Kama wabunge walitakiwa kutumia busara kwa kuacha upelelezi huru na kutoingilia uhuru wa Mahakama.

Marehemu kanumbaana kesi ya kujibu ya ubakaji
 
Nimesikitishwa na kauli zilizotolewa na wabunge Halima Mdee (CHADEMA) na Esther Bulaya (CCM) kusema kwamba wanataka KUMNASUA Elizabeth Machael (Lulu) anayetuhumiwa kusababisha kifo cha Kanumba. Kama wabunge walitakiwa kutumia busara kwa kuacha upelelezi huru na kutoingilia uhuru wa Mahakama.

Marehemu kanumba ana kesi ya kujibu ya ubakaji
 
Chonde chonde Watanzania wenzangu, hakuna msiba (kifo) kisichokuwa na mchawi!
Kuendelea kumtuhumu 'LULU' pasipo kuangalia upande wa pili wa shilingi hatutendi haki!
Kama tuhuma hizi kwa lulu ni 'genuine',
basi naye Kanumba anastahili the same accusation!
Lulu yawezekana alikuwa na madhaifu yake, kama ulivyo wewe na mimi. Tusijidanganye, under the sun no body is perfect!
Kisa hiki cha Lulu na Kanumba kinanikumbusha mfano wa bwana Yesu juu ya mwanamke mzinifu aliyeletwa kwake na Mafarisayo ili kuona kwamba Yesu angesema nini juu yake!
Suluhisho la Yesu lilikuwa - 'asiyekuwa na dhambi (madhaifu) awe wa kwanza kumpiga mawe!
Tungekuwa 'fair' tungelaumu pande zote mbili, kuendelea kumshutumu 'Lulu' sidhani kama ni njia sahihi ya kumshape binti huyu anayetwishwa mzigo mzito mabegani mwake bila kuangalia upande wa pili wa shilingi.
Bravo Mdee endelea kutafuta namna binti huyu atakavyosaidiwa.
Familia yake inamhitaji.
To be honest, hata Lulu asingekwenda kwa Kanumba ucku ule, kama ni mapenzi ya Mola, Kanumba angetutoka tu.
 
upuuzi mtupu...mnaumiza kicchwa sababu ya lulu??? who is lulu??? for what??? acheni awe na kesi asiwe na kesi kivyake...mnarukiarukia mambo tu....hili ni jukwaa la siasa sio ushakunaku na umbea page...lulu.lulu lulu to hell wa ngapi wameua na wapo huru na ni wangapi hawajaua lakini wamehukumiwa maisha au kunyongwa???? world is not fair....!!! moderator tutolee hizi pumba hapa
 
upuuzi mtupu...mnaumiza kicchwa sababu ya lulu??? who is lulu??? for what??? acheni awe na kesi asiwe na kesi kivyake...mnarukiarukia mambo tu....hili ni jukwaa la siasa sio ushakunaku na umbea page...lulu.lulu lulu to hell wa ngapi wameua na wapo huru na ni wangapi hawajaua lakini wamehukumiwa maisha au kunyongwa???? world is not fair....!!! moderator tutolee hizi pumba hapa

Anza kuwatukana hao wanasisa (wabunge) kwa sababu ndio source ya umbeya na upuuzi unaouita.
 
Mdee alipaswa akae nje ya suala hili la Lulu. Zaidi ya yote ataonekana kama anasaka umaarufu wa bure (ambao yeye tayari anao kwa umakini na uwezo wake wa kujenga hoja.)

Kama suala ni kutetea watoto mbona mtoto Rama mla vichwa hakupata support ya namna hii? Ama kwa kuwa Lulu ni maarufu?
 
Ivi tumokosa maneno ya kufikiria ya maana tunakaa kujadili kitu ambacho kimekwisha ondoka wt is lulu and wat is kanumba katika maisha yako au mmeathirika nini katika maisha yenu?

Pia mh mdee ana haki ya kusema pia vile mh bulaya nae ana haki ya sema

poeples mambo ya kanumba tuyaache tujadili mambo ya msingi wao kanumba na lulu ndo wanajua walikuwa wanafanyann kumtetea lulu siyo vibaya watanzania wenzangu lulu akuua ayeua ni mwenyimungu ndiye anajua nilini utakufa na sababu nini ata angekuwa wapi kama kifo kimepangwa unakuwa uwe nani au la
 
Back
Top Bottom