Wabunge Chadema wataka Mbowe alipwe fedha zote anazokidai chama ili uchaguzi wa Mwenyekiti uwe Huru na wa Haki

Hivi nyie hamfurahii kubaki kwa Mbowe??, maana mnasema chama kimemfia sasa s ndio furaha yenu????
 
Ni wakati wake sasa na yeye kupumzika na hivyo kuwaachia wengine waendeleze pale alipoishia, kama ilivyokua kwa watangulizi wake akina Mzee Edwin Mtei, Bi Makani, nk.
Nyie watu waambieni watu wenu hapo Lumumba wawe wanawapa taarifa za kutosha kabla ya kuweka kitu hapa JF. Bob Makani alikuwa ni mwanamke?

Mnakera sana!!
 
Ni wakati wake sasa na yeye kupumzika na hivyo kuwaachia wengine waendeleze pale alipoishia, kama ilivyokua kwa watangulizi wake akina Mzee Edwin Mtei, Bi Makani, nk.
Nyie watu waambieni watu wenu hapo Lumumba wawe wanawapa taarifa za za kutosha kabla ya kuweka kitu hapa JF. Bob Makani alikuwa ni mwanamke?

Mnakera sana!!
 
Nyie watu waambieni watu wenu hapo Lumumba wawe wanawapa taarifa za kutosha kabla ya kuweka kitu hapa JF. Bob Makani alikuwa ni mwanamke?

Mnakera sana!!

😂😂😂😂 Kamanda ni typing error tu hiyo. Nimesha edit. By the way, mimi siyo mfuasi wa Lumumba. Ni mpenda mabadiliko tu ninaye egemea zaidi upande wenu.

Ni kawaida sana kwangu wakati fulani kujikuta nashambuliwa kutokea pande zote! Upande wa Lumumba na mara chache, Ufipa. Hasa pale ninapo jaribu kupigania maslahi ya Taifa.
 
Hasa pale ninapo jaribu kupigania maslahi ya Taifa.
Katika hili maslahi ya taifa ni yapi. Si lazima kwanza uchaguzi ufanyike au nyie wazalendo mnataka Mbowe atoke bila ya utaratibu?

Lakini je Katiba ya CHADEMA inamzuia Mbowe kugombea tena kama anataka?
 
Katika hili maslahi ya taifa ni yapi. Si lazima kwanza uchaguzi ufanyike au nyie wazalendo mnataka Mbowe atoke bila ya utaratibu?

Lakini je Katiba ya CHADEMA inamzuia Mbowe kugombea tena kama anataka?

Kamanda, watanzania wengi na wapenda mabadiliko kama mimi, tunapenda kuiona Chadema imara na inayowapigania Watanzania ili kuwakomboa kutoka mikononi mwa mkoloni mweusi (CCM)!

Sasa kama muda wa uongozi wa Kamanda Mkuu umekwisha, kuna nongwa gani kumchagua mpambanaji mwingine zaidi ili kuendeleza yale mazuri yake yote? Huoni akiendelea kuwa Mwenyekiti atasababisha mgawanyiko ndani ya chama kwa kutokea kwa makundi yatakayo mpinga?
 
Ushauri murua kabisa!
 
Lakini muda wake wa uongozi ulishakwisha tangu mwezi Septemba! Na sasa tuko Oktoba. Ameshakuwa Mwenyekiti wa chama kwa vipindi vitatu mfululizo!

Ni wakati wake sasa na yeye kupumzika na hivyo kuwaachia wengine waendeleze pale alipoishia, kama ilivyokua kwa watangulizi wake akina Mzee Edwin Mtei, Bob Makani, nk.

Au unaonaje Kamanda?

Kama Katiba yao inamruhusu kugombea tena na akapitishwa na wanachama wake mimi sioni tatizo.
 
kuna nongwa gani kumchagua mpambanaji mwingine zaidi ili kuendeleza yale mazuri yake yote?
Anawezaje kuchaguliwa mtu mwingine bila ya kufanyika kwa uchaguzi? Lakini pia Katiba ya CHADEMA haizuii kugombea ama kama wanachama wataamua kuchaguliwa tena kwa Mbowe!!
 
Back
Top Bottom