Wabunge chadema mmetokota | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge chadema mmetokota

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kara, Nov 20, 2010.

 1. k

  kara Member

  #1
  Nov 20, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Penye ukweli unazi hauna nafasi sikia nyie madogo hawa wawakilishi wa wnanchi wametumwa bungeni kuwakilisha mawazo ya wapiga kura wao na si maigizo wanayofanya ka wanataka fani si wakajiunge the comedy.huo ni ubinafsi mkubwa waliouonyesha na pia unatia shaka kama wako kwenye kutafuta uwakilishi wa dhati au umaarufu binafsi wakati mwingine mbowe anasahau anazani yuko bilicanas mbowe stop non sense hicho kiwanja kingine ya bills peleka bills.embu leteni jibu la swali hili
  je upinzani wa chadema ni dhidi ya serikali gani?au dhidi ya wabunge wenzao?mlienda kufanya nini kwenye mnuso?
   
 2. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #2
  Nov 20, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,972
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  INAONEKANA UJAELEWA WHY WAL WALK OUT!wao wanapinga JK kama Rais na sio Serikali.Serikali milele ipo ajalishi juu kuna chama gani,upo apo? So mfano ata kama CUF wangeingia mjengoni pale Kivukoni,wizara,polisi nk zingekuwepo.so CHADEMA awamkubali JK as Presdent wa Tanzania
   
 3. w

  werema01 Member

  #3
  Nov 20, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haya bwana, uwezo wako wa kufikiri unakuonesha wanatafuta umaarufu.......... Kama njia waliotumia haifai shauri njia mbadala.

  Nakukumbusha bwana makamba alisema hivi ni vyama vya msimu, nadhani sasa anatafakari..... Nawewe muda wako wa kutafakari utafika
   
 4. s

  seniorita JF-Expert Member

  #4
  Nov 20, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 674
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wewe kweli unahitaji at bit of experience; ondoa hiyo nonsense yako; tumeshakwenda mbele kwenye hiyo issue; wewe ndio unaamka kwenye usingizi? Wewe umetumwa na hao wapiga kuwa waliowachagua wabunge wa chadema? Hujui unalilisema, jifunza kwanza kabla hujaleta hoja hapa, bado wewe mgeni, soma arguments kwenye threads, learn and then if you think you are matured enough to argue, you may write but I suggest to seek a second opinion. Pole sana kwa kuwa karne ya 19
   
 5. B

  Baba Ubaya Senior Member

  #5
  Nov 20, 2010
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 127
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wewe hujui hata unachokiongea umekalia kubonyeza hiyo keyboard tu, nenda kalale kesho shule
   
 6. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #6
  Nov 20, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,655
  Likes Received: 2,897
  Trophy Points: 280
  Siku hiyo hakukuwa na hoja za kuchangia, ilikuwa ni kusikiliza tu hotuba. Kama haujui kazi iliyokuwapo siku hiyo, ni vyema uulize kwanza badala ya kuanza kulaumu. Au wabunge wa CCM walichangia hoja za matatizo ya wananchi wao siku hiyo? Mimi sikuona. Kama ni michango ya bungeni, subiri moto February! Nakuambia Makinda na mawaziri watakiona kiti kichungu!
   
Loading...