Ehud
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 2,685
- 337
Wana JF kuna hii habari tumekuwa tukiisikia tokea kile kitendo cha kishujaa kifanywe na wale wapiganaji wetu wa CHADEMA pale bungeni. Lakini nyuma yake kuna wale amabo hawakuingia kabisa Bungeni kama Mh. Zitto. Naomba mwenye majina ya hao waliogoma kuingia bungeni ayaweke hapa yote ili tuwajue badala ya watu kuendelea kuhisi hisi.