Wabunge CDM Kasi Hii inafungua Njia kuelekea Ukombozi kamili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge CDM Kasi Hii inafungua Njia kuelekea Ukombozi kamili

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by GHOST RYDER, Jun 17, 2011.

 1. GHOST RYDER

  GHOST RYDER JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,025
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  [FONT=&quot]Si dhambi kukubali, kupongeza na wakati mwingine kuendelea kuchanga mawazo ya kuendelea kuboresha katika maeneo ambayo kimsingi yanatoa mashiko katika eneo zima la uchangiaji wa Hoja Bungeni kwa wabunge wa CDM.[/FONT]

  [FONT=&quot]Nianze na Manadhimu Mkuu:

  [/FONT]

  [FONT=&quot]LISSU: Despite Technical Knockout you’ve smacked the Bull
  [/FONT]
  [FONT=&quot]
  Asubuhi nimetuma waraka wangu kwa wabunge wa CDM kuhusu mwenendo mzima wa uchangiaji Bungeni, kwa mshangao mkubwa nilihofia kwa namna ambayo ilionekana kama kukosa maarifa ya kuutanzua huu mtego wa offside trick wa CCM

  Kwa mchango wa jioni ya leo wa Mh. Mnadhimu Mkuu Tundu Lisuu umebreak deadlock, despite kuzongwa na Muda lakini ujumbe uleule wa mauaji na udhalilishaji wa Jeshi la Polisi uliogonga mwamba jana wakati wa maswali ya papo kwa papo ya Waziri Mkuu, umefika kwa more organized na systematic way.

  [/FONT]

  [FONT=&quot]Sina shaka strategy ile ile aliyoitumia Mnadhimu na SABRINA, KIHWELU na CHRISTINA ni mwanzo mzuri na huenda na wasiopenda kuona hoja za maslahi ya wanyonge zinawasilishwa watajipanga pia kuudhibiti utaratibu huu mpya ambao kwa sehemu kubwa umefanikisha kupitisha Mawazo chanya yote yaliyokwamishwa kuanzia jana.

  [/FONT]

  • · [FONT=&quot]Tumesisikia salamu za Udhalimu waliotendewa Wanafunzi wa UDOM[/FONT]
  • · [FONT=&quot]PhD kapewa Stahili yake kwa jitihada kubwa alizozifanya wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu[/FONT]
  • · [FONT=&quot]Bila shaka kitanzi kwa Sakata la mauaji na udhalilishaji wa Jeshi la Polisi sasa ni Kitanzi kwa Dola[/FONT]
  [FONT=&quot]Tunashauri muendelee kuweka mikakati ya kuhakikisha ujumbe Chanya zinapenya na kuufikia Umma wa Watanzania kama ilivyofanyika jioni hii. Mh. Jenista Mhagama umetimiza wajibu wako kwa usawa.

  [/FONT]

  [FONT=&quot]Sina uoga kutamka bayana you’ve responded to our wakeup call.[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Aluta Continually[/FONT]
   
 2. GHOST RYDER

  GHOST RYDER JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,025
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Haya Mh. Mtutura anawapongeza wachangiaji wa CDM sasa sijui atawekwa wapi leo.
   
 3. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  huyo mziki umekolea ameanza kucheza
   
 4. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mwaka huu kila rangi tutaiona
   
 5. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #5
  Jun 17, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,197
  Likes Received: 1,003
  Trophy Points: 280
  like father like son. Chadema noma kweli, hakuna mbenge mwenye damu baridi kwenye hiki chama.
  Naipenda hii!!
  .
   
 6. h

  hans79 JF-Expert Member

  #6
  Jun 17, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Tuwaunge mkono wabunge wetu cdm na pia tuwashaur namna ya kupambana mbungen kwa hoja zenye umakin.shime tutaushinda udhalimu
   
 7. k

  kagosha Member

  #7
  Jun 17, 2011
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kuna mtu aliwahi kuchangia humu kuwa ; CHADEMA ni kama timu ya mpira, wakiamua kupanda wanapanda wote kama ni kuzuia wanazuia wote, yaani ni kama barcelona.

  Nimeshangaa jana walimkaba Lissu kama Messi ajabu leo kawatoka kama wamesimama na kupiga bao huku kipa makinda akiwa anashangaa nyavu zinaatikisika asijue la kufanya.

  Kiukweli Chadema ni tumaini jipya
   
 8. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #8
  Jun 17, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mwanzo mwisho...Aluta Continua.
   
 9. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #9
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,029
  Likes Received: 3,052
  Trophy Points: 280
  Of course ukiwaangalia CDM utawadharau kwa uchache wao lakini strategically they play above level...leo Tanzania si machinga,si wauza mchicha,si wavuvi,si washona viatu,si wakaanga maandazi,si mafundi seremala,si mafundi vikoroboi,si waendesha bodaboda,si waendesha bajaji,si waendesha daladala,si wanafunzi,si wafanyakazi wa ndani,si waosha magari,si makanisani,si misikitini,si wanazuoni,si wauza kahawa bila kuwaacha wanaCCM,...kila unakopita wote hawa wanaiongea CDM na wanaikubali CDM,Mkiyaona haya basi jueni mda wa ukombozi waja wana wa nchi hii.
   
 10. M

  MAURIN Senior Member

  #10
  Jun 17, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anguko la CCM LIMETIMIA.
   
Loading...