Wabunge CCM wanafanya majungu na kujikomba ili wapate teuzi toka kwa Rais Samia

Wabunge wa ccm wengi wa sasa walikuwa na jambo Lao na hayati JPM, Hivyo kuondoka kwake Jumla amewaachia kihoro na mawazo yanayohitaji tiba ya akili.

Mbunge kama Joseph Gwajima alitumia kanisa lake kutukana wastaafu kama Kikwete kuwa hakufanya lolote na alikuwa Rais Special sana wa Mafisadi bali JPM ndie wa maana atawale muda mrefu.

Mbunge kama Polepole ameweweseka sana baada ya JPM kutoweka akaamua kuanzisha shule ya uongozi hata wanafunzi wa shule yenyewe hawajulikani na hata usajili haujulikani, Jambo Lao na JPM lilikuwa kubwa sana, Polepole Ikifika wakati anasema hakuna serikali ya awamu ya sita bali hii ni serikali ya magufuli hayati.

Sasa kundi la Sukuma Gang limekuja kushambulia wateule wa Rais Samia baada ya kushindwa kumtikisa Rais sasa wanajaribu kutikisa wateuliwa wa Rais Samia.

Mbunge Kalemani toka mtandao wa Sukuma Gang wakati Tundu lissu anashambuliwa kamera za pale kwenye nyumba alizipeleka wapi? Wao hawakutaka kuulizwa kwani walijua JPM forever and for life.

Hakuna uchaguzi wa maana uliofanyika mwaka 2020,Hawa wabunge wa ccm wengi walipitishwa kinguvu na bila kupingwa, Tatizo aliyewapitisha na kuwaahidi teuzi hayupo tena duniani.

Wabunge wa ccm bungeni wanafikiri a kupiga Majungu na kufanya usengenyaji ili wapate teuzi toka kwa Rais Samia Suluhu Hassan.

Aliyewapeleka wabunge wa ccm kinguvu hayupo, Kundi la kikabila la Sukuma Gang limerudi kwa mgongo wa nyuma ili wapate teuzi.

Maneno yote aliyoandika na kuandikiwa bwana Luhanga Mpina mbunge toka huko kwenye kundi la Sukuma Gang ni kutaka teuzi ya Rais.

Wananchi hatuhitaji kelele za wabunge wa ccm ambao hakuna aliyewachagua bali walipita kinguvu kutokana na Hayati JPM kuwa na jambo lake na wao.

Luhanga Mpina, Josephat Gwajima na Wengine ambao mlikuwa mnaendesha mtandao wa JPM forever and for life tambueni kwa sasa Rais ni Samia Suluhu Hassan.

Wakati watu wanatekwa na kutupwa kwenye Viroba hamkuona ni hoja za Kitaifa.

Sukuma Gang chini ya kalemani mlivyoacha kushughulika na umeme wa Gas Mtwara hamkuona tatizo bali tatizo ni Bwawa la maji la Nyerere ambalo mmekata miti na kusababisha ukame mkali na Jua kali Katika mikoa mingi hapa Tanzania.

Lile jambo lenu baadhi ya wabunge mlioandaliwa kupiga kura ya veto bungeni ili JPM awe daima na wa maisha tambueni hayupo.

Hoja zote za kujadili mambo ya nchi mlizizima kwa Propaganda na mliitumia television ya Taifa kuelezea kuwa JPM amefanya mambo makubwa kuliko mtu yeyote wakati kazi nyingi na viwanda alivyozindua vilikuwepo vinafanya kazi.

Sasa ni kishindo awamu ya sita na sio kile kishindo cha awamu ya tano ya jambo lenu.
Akina Mpini
 
Alafu waweza kuta mleta mada za hivi nae ni mtu mzima kabisa na Anna familiya inamtegemea kabisa
 
Kujikomba hadi kujidhalilisha ni itikati ya CCM na imekuzwa sana kipindi cha tano. Hebu fikiria profesa mzima tena wa sheria anajiita wa jalalani!!!! Yaani chuo kikuu ni jalalani😭😭😭😭
 
Mkuu,. Umechanganua hoja yako bila unafiki. Rais yupo ngangari, hawezi kutikiswa na vikao vya gizani vyenye vimelea vya majungu majungu kama ulivyodadavua.

Kazi iendelee!!
Kalemani na kundi lake ndio wanafadhili Hawa watukanaji wa serikali
 
Mleta mada madai yake ni kuwa mradi wa bwawa la mwalimu nyerere ndio umeleta ukame hapa nchini.

Hii ni sayansi au siasa??

Daah.
 
Tangu zamani ilikuwa hivyo hivyo kwa hiyo mtoa usitake kuhalalisha dhana yako ya ukabila kujificha kwenye uvungu was Samia eti serikali yake inapondwa na sukuma gang!!!!!!!!!!!!! Dead wood rejea kashfa ya minofu ya samaki ya professor mbilinyi na chrisant maji ya Tanga mzindakaya unakumbuka hiyo ilikuwa Ni utawala gani? Je hiyo nayo ilikuwa sukumagang?????????????????????????????????????????????????????????????? Nani alikuwa anaweweseka hapo mzindakaya???????????????? Chuki zako kwa utawala was magufuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii usitulishe wengine eeeeeeee
Pia mkumbushe ninani alimuua mwandishi Stan Katabaro aliyekomali kuuzwa Loliondo?
 
Back
Top Bottom