Wabunge CCM wakanusha kutokuwa na imani na rais

nyabhingi

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
15,513
19,998
wakiongozwa na richard ndassa na zungu,wamesema hawakuwa na kikao au mpango wowote wa kumpindua rais kama ilivyoripotiwa na gazeti la mwanahalisi..
wadai mwenyekiti katika kikao cha kum-impeach rais ni waziri mkuu ambaye ameteuliwa na rais hivyo hawezi kuongoza kkao hicho
wasema mlolongo wake ni mrefu na usipokuwa makini unaweza kuishia jela...
 
Hapo kwenye nyekundu kwa hiyo wanatamani kumpindua lakini wanakwamishwa na sababu ya kuwa mwenyekiti wao ni mteule wa Rais na hapo kwenye njano ni kuwa wanatamani kumwondoa lakini wanakwazwa na mlolongo wa hatua za kupitia nakwamba wanahofia kuishia jela ingawa wanapenda aondoke?
 
Kama Bunge wanahitaji kuleta heshima yao wafanye hilo, hakuna cha kuishia Jela maana hiyo ni sheria wanatekeleza kwa mujibu wa sheria.
 
Du kitendo kama hicho kitalikomboa taifa letu linaloyumba ktk nyanja zote kama kiuchumi, kisiasa, na utawala bora
 
Hao wabunge kwanza wana tatizo la kiuelewa, mwanahalisi halikusema kilikuwa kikao rasmi cha wabunge wa ccm bali kulikuwa na baadhi ya wabunge wa ccm na wale wa upinzani waliokuwa wanajipanga namna ya kuwasilisha hyo hoja, sasa mambo ya kusema eti ccm haijakaa ndo k2 gani?
 
kwa hiyo ulitegemea hao wabunge wangekubali, yaani ili mwenyekiti wao aanze kuwashughulikia
 
wakiongozwa na richard ndassa na zungu,wamesema hawakuwa na kikao au mpango wowote wa kumpindua rais kama ilivyoripotiwa na gazeti la mwanahalisi..
wadai mwenyekiti katika kikao cha kum-impeach rais ni waziri mkuu ambaye ameteuliwa na rais hivyo hawezi kuongoza kkao hicho
wasema mlolongo wake ni mrefu na usipokuwa makini unaweza kuishia jela...

wakanushe wasikanushe, hakuna anayemtaka Kikwete. Pengine ni mange kimambi ndo anayempenda na familia yake
 
Wakuu kulikuwa na hako kachokochoko?
Lisemwalo lipoooo.,tunathulimiwa na wa wekezazaji wa nje wakati tuna elimu kuliko hao watu.
Niwakati tusimame pamoja.Shule tumekwenda nchi nyingi tumekuwa na wa upeo tunao.
Serikali yetu inatufanya hatuna akili lakini wengi tume amka na tutatetea haki ya yetu na tuna tka nchi yetu
 
Nilishawahi toa hoja ya wabunge wapige kura ya kutokuwa na imani na rais kumbe na wao wengi walikuwa na mawazo hayo nimegundua Rais apendwi sababu hana faida!

Bagamoyo alizaliwa mtoto akawekewa Nazi na Sasa ni kiongozi mkuu na anaongoza kinazi nazi Hapendwi..
 
Kama kuna wabunge wanao-contemplating ku-vote for no confidence toward kikwete, this is something to see.

Wabunge wa ccm na Pinda I know you can do this based on katiba yenu. Fanyeni tuwaone ... msiogope vitisho vya ofisi ya kikwete, tunajua kikwete akiondoka tu tunamdaka jela moja kwa moja.
 
Afunguliwe Barnaba lakini Yesu asulubiwe ndio nchi hii inavyoelekea itafika kipindi watataka jk atolewe potelea mbali EL Apewe nchi!
 
wakiongozwa na richard ndassa na zungu,wamesema hawakuwa na kikao au mpango wowote wa kumpindua rais kama ilivyoripotiwa na gazeti la mwanahalisi..
wadai mwenyekiti katika kikao cha kum-impeach rais ni waziri mkuu ambaye ameteuliwa na rais hivyo hawezi kuongoza kkao hicho
wasema mlolongo wake ni mrefu na usipokuwa makini unaweza kuishia jela
...

i didn't know that MASABURI was right, now on the RED masaburi is right na JAIRO said the truth
ina maana hawa wapuuzi hawajua kama wanakinga na hiyo kura sio uhaini?
sasa jera ina kujaje hapo?
wametumwa na nani kudanga umma, walikuwa wapi siku zote
zungu naye anaweza kuwa janga la taifa sio muda mrefu ana mambo mengine sana anayojiusisha nayo
DDC na kadhalika
 
Back
Top Bottom