Wabunge CCM acheni uoga ili muokoe Tanzania inayozama

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,225
Kama Nyie wabunge wa CCM mnakubali mawaziri wezi wabaki kisa eti wanalindwa na mtu mmoja!!!!

Huyo mtu mmoja atoswe maana anajinufaisha yeye na familia yake.

Sina shaka na wabunge wa Upinzani

Wabunge wa CCM ndo wako wengi na wamekuwa watetezi wa serikali yao hata kwa uovu wa wazi kabisa. Hili la mawaziri kuiba ni aibu zaidi, Wabunge wa CCM ondoeni huyu mtu mmoja na mkubali turudi kwenye uchaguzi,hapa wananchi watawapa kura.
 
Back
Top Bottom