Njowepo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 9,710
- 2,239
Hapo nadhani kuna mkanganyiko,inawezekana bado wanajaza hizo data.kwa sababu mpaka sasa wapinzani wamefikia 53,ccm wenyewe walisema pamoja na vyombo vya habari,kwa maana hiyo(nccr-4,udp-1,tlp-1,chadema na cuf ni 47,hivyo mmoja wao ana 23 na mwingine ana 24)
ili kupata 47 ni lazima 23 ijumlishwe na 24, haiwezekani mmoja akawa na 22 mwingine akawa na 25, au mmoja akawa na 21 mwingine 26?......chadema na cuf ni 47,hivyo mmoja wao ana 23 na mwingine ana 24)
CUF pemba wamepata viti 18 Unguja Viti 3 na Tanzania bara 2 sidhani kama ukijumlisha unapata 22!Chadema ni 23
ISSUE YA CUF NI A BIT CONTRAVERSY...KWA SABABU TAYARI WABUNGE WENGI WANATOKA ZANZIBAR AMBAKO KUNA SERIKALI YA UMOJA[CCM/CUF kama zamani TANU/ASP].....NINA SHAKA KUBWA NA INTERGRITY YAO KUWA OFFICIAL OPPOSITION .........ILA HILI LIKISHAWEKWA SAWA NI VEMA SASA VYAMA VYOTE VYA UPINZANI VIUNGANE ILI KUUNDA UPINZANI RASMI BUNGENI WENYE NGUVU!!
CUF wataongeza viti vyao kwenye majimbo yaliyoahirisha uchaguzi kule Pemba hivy kuendelea kuwa kiongozi wa upinzani Bungeni.
CUF ana viti 24 na CHADEMA 23, lakini CHADEMA kitakuwa chama kikuu cha upinzani maana kitapata viti maalum vingi zaidi kwa sababu mgombea urais wake alipata kura nyingi zaidi ya yule wa CUF.