Wabunge 19 wasio na chama kuendelea kuwalipa mishahara ni ufisadi

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
3,086
4,879
Wadau kuna kundi linadai ufisadi na rushwa vimeongezeka kipindi hiki cha utawala wa rais samia mpaka rais akasema ufisadi na rushwa vilikuwepo awamu zilizopita.

Je, kuendelea kuwalipa mishahara na posho wabunge 19 waliofukuzwa na chama chao chadema kinyume na katiba ya nchi sio ufisadi unaofanywa na utawala wa sasa?

JamiiForums-77849611.jpg
 
Wadau kuna KUNDI linadai UFISADI na RUSHWA vimeongezeka Kipindi hiki cha Utawala wa RAIS SAMIA Mpaka RAIS akasema UFISADI na RUSHWA vilikuwepo Awamu zilizopita.
JE kuendelea KUWALIPA MISHAHARA na POSHO Wabunge 19 WALIOFUKUZWA na Chama chao CHADEMA Kinyume na KATIBA ya NCHI Sio UFISADI unaofanywa na UTAWALA wa SASA?View attachment 2041069
Ndugaye alishapitisha sheria inayo mlinda asishitakiwe
 
Ndio maana kuna Kundi linasema Ufisadi na Rushwa vimetawala Kipindi hiki cha huu Utawala huu kwa Mambo kama haya ya kulipa Wabunge Fake
Huo ndiyo ukweli usiyo na shaka maana wanalipwa mishahara bila kutimiza masharti na vigezo kulingana na taratibu walizojiwekea
 
Wadau kuna KUNDI linadai UFISADI na RUSHWA vimeongezeka Kipindi hiki cha Utawala wa RAIS SAMIA Mpaka RAIS akasema UFISADI na RUSHWA vilikuwepo Awamu zilizopita.
JE kuendelea KUWALIPA MISHAHARA na POSHO Wabunge 19 WALIOFUKUZWA na Chama chao CHADEMA Kinyume na KATIBA ya NCHI Sio UFISADI unaofanywa na UTAWALA wa SASA?View attachment 2041069
Mlimpokea Bulaya mkashangilia sana. Acha aendelee kuwavuruga. Siyo kila ahamiae upinzani ni mpinzani wengine ni kwa kazi maalum.
 
Cag tunasubiri ripoti yako kuhusu hela inayolipwa kwa hao wabunge Ni halali?
 
Wale ni wabunge halali mpaka baraza kuu la chadema litakapojadili rufaa yao . Baraza limegoma kujadili inaonyesha kuna kitu wanajua ambacho hawataki kutuambia.
 
Umeazima Akili za Kuku? hoja ni KULIPWA Mishahara bila Sifa za KIKATIBA unaongea upupu una Akili kweli ?
Ubongo wako ni wa sha..awa. Maana yangu ni kuwa kuna mamluki wengi wamepokelewa vyama vya upinzani na ndiyo pia chanzo cha hao covid19
 
Wale ni wabunge halali mpaka baraza kuu la chadema litakapojadili rufaa yao . Baraza limegoma kujadili inaonyesha kuna kitu wanajua ambacho hawataki kutuambia.

Mbona sabaya ni mfungwa huku akisubiri rufaa yake.
Kwenye jurisprudence ukikata rufaa ni kwamba yale maamuzi uliyoyakatia rufaa yanatekelezwa.
Ila suala la sifa za mbunge ni la kikatiba katiba lazima iheshimiwe.
Chama kilishafanya maamuzi yao katiba iheshimiwe
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom