Wabunge 19 wa CHADEMA- Matokeo ya kughushi uchaguzi wa 2020

Uchaguzi wa 2020 ulikuwa wa kughushi-forgeries, kwa vigezo vyote.
Hata CCM wanalijua hilo.

Mazingira na mipango yote ya serikali ilitayarishwa ili mtu mmoja aamue, na ni kwa matakwa yake tu, nani anaingia bungeni.
Kuanzia tume ya uchaguzi, wasimamizi hadi kura za mabegi za kughushi.

Watanzania wanalijua hilo.

Kuna wakati Magufuli alisema hadharani, siwezi kumpa DED kazi na akampitisha mpinzani kuwa mbunge ati kisingizio uchaguzi!

Aliyetayarisha huo ughushi hakuwa na akili sana, matokeo yake yakawa predictable. Nchi nzima mpinzani aliyepata kura ni mmoja tu!
Naye sijui alipitaje!

Kwa viongozi wa kughushi wakawa wamejipatia tatizo jingine kubwa.

Kuna nafasi za kamati bungeni Kikatiba lazima ziongozwe na kambi ya upinzani! Sasa ilibidi Forgerer-in-Chief aagize forgery na kuwaingiza tume ya uchaguzi kughushi namna ya kuwaingiza hao wajumbe 19 toka upinzani kwa nafasi ya wanawake.

Mchezo ulichezwa na Spika Ndugai na tume ya uchaguzi.

Hapo ndipo tulipo-wabunge 19 wa CHADEMA wa kughushi, na wengine wengi tu wa CCM.
Forgerer-in-Chief, nimeipenda hiyo.
 
Na aliyeapishwa kimagumash sasa hivi yuko six feet under.
Ni mwalimu na walimu wengi wana sifa ya kughushi matokeo katika uchaguzi. Kule shuleni ukipendwa tu na wanafunzi lakini walimu hawakupendi hutochaguliwa kiongozi na hata upate kura nyingi kiasi gani zitabadilishwa tu
Wanafunzi wanajua sana hili. Ni ubabe tu na kitu kinachoanzia shuleni huenea kila mahali.
 
Lawama za udhaifu wa upinzani zote anapewa Magufuli.

Wapinzani wetu wamejaa njaa tupu. Ni wachache sana ambao wanaweza kusimama peke yao.

Anzia Mbowe, huyu ni mchumia tumbo, Msigwa, huyu njaa inataka kumuua anaropoka tu. Lissu, atleast huyu anaweza kuishi bila kuhongwa ila tayari kwa sasa yuko compromised.

Ukija kwa wanawake na kina Zitto ndio hao mnaowaona, njaa tupu.

Hii nchi kinachotuangusha ni udhaifu wa upinzani. Wana njaa sana.
Lakini kumbuka wapinzani wamekuwa na mchango muhimu sana kwa nchi
 
Umeandika uhalisia kabisa.
Wameshiba KANDE za kwa Mtogole huko halafu wanalaumu tu; mwandishi aliyemlaumu Mbowe hana UWEZO wa kufanya walau robo tu ya alicho kifanya Freeman A. Mbowe au hata kuweza kuhimili alicho pitia Mbowe hasa enzi za mwendazake
 
Ingekuwa kwa matakwa yangu kuna wengine wengi tu bungeni ambao ni
Lawama za udhaifu wa upinzani zote anapewa Magufuli.

Wapinzani wetu wamejaa njaa tupu. Ni wachache sana ambao wanaweza kusimama peke yao.

Anzia Mbowe, huyu ni mchumia tumbo, Msigwa, huyu njaa inataka kumuua anaropoka tu. Lissu, atleast huyu anaweza kuishi bila kuhongwa ila tayari kwa sasa yuko compromised.

Ukija kwa wanawake na kina Zitto ndio hao mnaowaona, njaa tupu.

Hii nchi kinachotuangusha ni udhaifu wa upinzani. Wana njaa sana.

matokeo ya kughushi.
Joseph Mbilinyi, aka Sugu, I salute you brother.
Kisiasa miaka yake ya ubunge jiji la Mbeya lilididimia kimaendeleo.
Inawezekana kweli hakuna maendeleo yaliyofanyika Mbeya kipindi Sugu akiwa mbunge (sina uhakika). Ila kumbuka maendeleo kipindi hicho ilikuwa ni hisani ya shetani.
 
Joseph Mbilinyi, aka Sugu, I salute you brother.

Inawezekana kweli hakuna maendeleo yaliyofanyika Mbeya kipindi Sugu akiwa mbunge (sina uhakika). Ila kumbuka maendeleo kipindi hicho ilikuwa ni hisani ya shetani.
Sijaelewa mkuu!
 
Wabungewa kughushi ndio wameenguliwa uanachama.
Sasa wataenguliwa ubunge.
Nawapongeza CHADEMA kwa kusahihisha hili suala la ubunge wa kughushi.

Sasa lazima iteuliwe Tume kuchunguza na kuwachukulia hatua wale walioghushi na kuwapeleka hao 19 kwa Ndugai.
Watu waliomo Tume ya Uchaguzi hawawezi kukiuka katiba ya nchi na ikawa business as usual.
 
Uchaguzi wa 2020 ulikuwa wa kughushi-forgeries, kwa vigezo vyote.
Hata CCM wanalijua hilo.

Mazingira na mipango yote ya serikali ilitayarishwa ili mtu mmoja aamue, na ni kwa matakwa yake tu, nani anaingia bungeni.
Kuanzia tume ya uchaguzi, wasimamizi hadi kura za mabegi za kughushi.

Watanzania wanalijua hilo.

Kuna wakati Magufuli alisema hadharani, siwezi kumpa DED kazi na akampitisha mpinzani kuwa mbunge ati kisingizio uchaguzi!

Aliyetayarisha huo ughushi hakuwa na akili sana, matokeo yake yakawa predictable. Nchi nzima mpinzani aliyepata kura ni mmoja tu!
Naye sijui alipitaje!

Kwa viongozi wa kughushi wakawa wamejipatia tatizo jingine kubwa.

Kuna nafasi za kamati bungeni Kikatiba lazima ziongozwe na kambi ya upinzani! Sasa ilibidi Forgerer-in-Chief aagize forgery na kuwaingiza tume ya uchaguzi kughushi namna ya kuwaingiza hao wajumbe 19 toka upinzani kwa nafasi ya wanawake.

Mchezo ulichezwa na Spika Ndugai na tume ya uchaguzi.

Hapo ndipo tulipo-wabunge 19 wa CHADEMA wa kughushi, na wengine wengi tu wa CCM.

UPDATE
Wabunge 19 wa kughushi kupitia uchochoro wa Spika Ndugai ndio wameenguliwa rasmi ufadhili wa chama chao CHADEMA.

Wale 19 hawakuwahi kuwa chagup la chama chao.
Ni muhimu sasa kuwa na tume ya kuchunguza walifika fikaje kuwa wabunge.Heads must roll Tume ya Uchaguzi.
Makosa mengine husahihishwa kwa machungu.
Halima Mdee na wenzake walikiuka a basic principle.
Kama kansa ilibidi wakatwe tu.
 
Back
Top Bottom