Baada ya uchaguzi wa mwaka jana vumbi kubwa lililobaki ni hili la kuhusu wabunge 19 ambao Chama chao hakiwatambua. Siku za mwanzo za sakata hili spika Ndugai alirudia mara kwa mara kuwa atawalinda na wasiwe na wasiwasi.
Kamati kuu ya chama chao ikawafuta uanachama na ikawapa fursa ya kukata rufaa Baraza kuu. Spika ndugai akajitokeza tena akihitaji proceedings za kuwafuta uanachama.
Juzi Msajili ameingilia naye jambo hilo na kwa uelewa wangu
Wakati mwingine kuna watu 'wanawashwa' in late JPM tone!

- Hakuna anayeweza kubadili msimamo wa spika (ndani na nje ya bunge)
- Pamoja na sakata lote hili wabunge hawa wameendelea kuwepo bungeni na kupokea stahiki zote za ubunge
- Hata Baraza kuu litabariki uamuzi wa kamati kuu bado Spika ana uwezo wa kuwaweka bungeni kwa miaka minne iliyobaki
Wakati mwingine kuna watu 'wanawashwa' in late JPM tone!