wabuge tunawasubili majiboni mje mtueleze mliyo yatekeleza

sonmtambo

Member
Aug 6, 2013
31
1
Wabunge wengi utasikia kule kwangu nimejenga shule mfano mh mwijage eti nimejenga viumba vya madarasa wakati wananchi nawao wanachangia kwaiyo wabunge waache kujisifu
 
Kuna hawa waliotetea fao la kujitoa, Hakika nimewashangaa sana, By the way nilijua lilisha isha, Kumbe walilirudisha kimya kimya.
 
Moja walilotekeleza ni kukisifia chama bungeni na kukitetea! Wabunge wengi bungeni ni watetezi wa chama na sio wa wananchi! Ingawa wabunge wa namna hii wanapatikana kwenye vyama vyote, lakini wengi wako ccm...!
 
Wabunge wengi utasikia kule kwangu nimejenga shule mfano mh mwijage eti nimejenga viumba vya madarasa wakati wananchi nawao wanachangia kwaiyo wabunge waache kujisifu

umeandika nini wewe div 5?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom