Wabrazil waahidi kuitoa nchi (Tanzania) gizani


lukindo

lukindo

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2010
Messages
8,152
Likes
6,554
Points
280
lukindo

lukindo

JF-Expert Member
Joined Mar 20, 2010
8,152 6,554 280


Matumaini ya Watanzanuia kuwa na umeme wa uhakika, yameanza kuonesha nuru baada ya Ijumaa, kampuni ya Odebreicht ya hapa kukubali kuwekeza katika umeme wa maji kwenye maporoomoko ya maji ya Stiglers Gorge yaliyopo ndani ya Bonde la mto Rufiji, umbali wa kilomita 374 kutoka jijini Dar es Salaam.

Hatua hiyo ilifikiwa Ijumaa katika mazungumzo kati ya wawakilishi wa kampuni hiyo kubwa ya uwekezaji katika sekta hiyo duniani kufanya mazungumzo na ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na Waziri mkuuu, Mizengo Pinda.
.....
....
"Hawa watu wana uwezo mkubwa, kwani huu hautakuwa mradi wao wa kwanza, walishakuwa na mradi na mradi kama huo nchini mwao hapa ambao unazalisha megawati 3,150 …tunaamini watafanya vizuri," alisema Ngeleja.

Source: Habari leo 9/10/2011
My take:
Je, huu ni ushahidi kuwa Watanzania wamefikia kiwango chao cha mwisho cha kufikiri (kutatua matatizo yao)!????
Je, huo mkataba unaweza kuwa tofauti na mingine tuliyoizoea?
Naomba kujuzwa, hizo Mtera, Kadatu, Kihansi, Nyumba ya Mungu nk ni zinamilikiwa na nani (wawekezaji au Serikali)?
(Kama zinamilikiwa na serikali(?) iliwezekanaje wakati huo na ishindikane sasa kulijenga hili bwawa jipya wenyewe? ...ni kutokana na bajeti iliyopita amabpoa Tanesco ilitengewa fedha kidogo zaidi ya zile za "Stimuli package". Na niliwahi kuona hapa jamvini mchangiajia alisema kama serikali ingelitenga kiasi fulani kwa miaka mitano mfululizo lingekamilika)

Nawasilisha
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
80,907
Likes
46,481
Points
280
Age
28
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
80,907 46,481 280
We are dumb! Intelligent people know how to solve their problems. Smart people are resourceful. Ingenious people invent and innovate. We lack all of these attributes.

Yes I said it. We are dumb!
 
SnowBall

SnowBall

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2011
Messages
3,058
Likes
27
Points
145
SnowBall

SnowBall

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2011
3,058 27 145
..Tuachotaka kama Nchi ni Umeme wa Uhakika ..sasa unapokuja tena kuuliza mbona yale mabwawa ya mwanzo tulijenga wenyewe na kwa nini sasa hivi tutafute wawekezaji? nashindwa kukusoma..Serikali siku hizi haiwekezi inachofanya ni kujenga mazingira ya kuvutia wawekezaji kwenye sekta mbalimbali lakini hiyo pia haiwezi kuwa sababu ya kwa nini serikali isiwe na share zake..na kama utakumbuka Bunge limepitisha sheria ya PPP ambayo serikali inawajibika kufanya kazi na Private sekta.
Kuhusu Mikataba hili ni tatizo sugu kwa watz wengi..kikubwa hatuna Uzalendo..yaani unasaini mkataba kana kwamba wewe hauishi Tanzania..kisa tu umepewa chakwako..Ni changamoto kwa watz wote manake yanapotokea matatizo yanatukumbuka sote..
 
nyabhingi

nyabhingi

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
13,327
Likes
10,441
Points
280
nyabhingi

nyabhingi

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
13,327 10,441 280
this single is a real smash hit,.it has stayed at number one spot for more than ten years...
 
CAMARADERIE

CAMARADERIE

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2011
Messages
4,430
Likes
169
Points
160
CAMARADERIE

CAMARADERIE

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2011
4,430 169 160
"Hawa watu wana uwezo mkubwa, kwani huu hautakuwa mradi wao wa kwanza, walishakuwa na mradi na mradi kama huo nchini mwao hapa ambao unazalisha megawati 3,150 …tunaamini watafanya vizuri," alisema Ngeleja.

This guy can only eat,dream and brood about MEGAWATTS that aren't there
 
Emanuel Makofia

Emanuel Makofia

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2010
Messages
3,849
Likes
29
Points
145
Emanuel Makofia

Emanuel Makofia

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2010
3,849 29 145
tired of megawatts ,megawatts,megawatts,megawatts !
 
WA-UKENYENGE

WA-UKENYENGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2011
Messages
2,908
Likes
264
Points
180
WA-UKENYENGE

WA-UKENYENGE

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2011
2,908 264 180
This is one of the crazy country in world!! Everytime the top leaders are looking for investers without knowing that "This is the world of survive of the fittest". Hawa viongozi wetu sidhani kama wanajifunza au wanawashauri maofisini kwao. Hivi wadhani hizo nchi ziliweza kwa kutembeza bakuli kila kunapotokea tatizo? Au nisema wanadhani nchi hizo zinaendelea kwa kuwasahau wataalamu wao au bila kujenga human capacity ndani ya nchi zao?

Its about long term goals, kujijengea uwezo hakuji kwa kutembeza bakuli kila kukicha. Kama wanaweza kuongoza nchi ikiwa gizani, kwa nini wasihangaike kutrain wataalamu wa ndani na kuraise money for the projects? Make people die for their country and not let the country die for other people from different country.
 

Forum statistics

Threads 1,237,614
Members 475,671
Posts 29,294,434