Waboyzia: Waliosoma Tabora boys tangazo maalum | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waboyzia: Waliosoma Tabora boys tangazo maalum

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mbasajohn, Aug 1, 2011.

1. mbasajohn

mbasajohn JF-Expert Member

#1
Aug 1, 2011
Joined: Mar 14, 2009
Messages: 248
Likes Received: 2
Trophy Points: 0
Kama we umesoma Tabora Boys High School, mkoan Tabora either O-Level or A-Level unakaribishwa kuchangia mawazo na kuhudhuria kikao cha waboyzia wote waliosoma Tabora boys kuanzia mwaka 1922 ilpoanzshwa mpaka mwaka huu kitakachofanyka oktoba mwaka huu (2011) jjn dar.
Unatakiwa kutoa mawazo yako ya jinsi gan kikao hk kfanyke na nn kiongezwe kwenye mada ztakazojadiliwa.

2. Ngaliba Dume

Ngaliba Dume JF-Expert Member

#2
Aug 1, 2011
Joined: Oct 6, 2010
Messages: 1,604
Likes Received: 1,716
Trophy Points: 280
Hahaaaa Warsawa hawatakuwepo?(natania)...vp kikao ni wap?vijana wa Berlin tupo

3. VoiceOfReason

VoiceOfReason JF-Expert Member

#3
Aug 1, 2011
Joined: Nov 4, 2010
Messages: 5,234
Likes Received: 43
Trophy Points: 0
Kuwepo kwa Warsaw muhimu....

Vipi na Samwel Sitta atakuwepo?

4. RedDevil

RedDevil JF-Expert Member

#4
Aug 1, 2011
Joined: Apr 30, 2009
Messages: 2,287
Likes Received: 903
Trophy Points: 280
Hakuna nouma!! inabidi tufanye online meeting kwanza wengine tuko mbali, ikishindikana basi hata kwa video conference! Tabora School hoyeee!

5. h

hamidshaban JF-Expert Member

#5
Aug 1, 2011
Joined: Jan 4, 2011
Messages: 259
Likes Received: 9
Trophy Points: 35
nice idea mie nimeanza pale 1984 na kumaliza 1990 name&fame Amidu shaban. Kwa anayenikumbuka tafadhali mobile 0756494249

6. Karnoon

Karnoon Senior Member

#6
Aug 1, 2011
Joined: Jul 9, 2011
Messages: 106
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

ilborians vp?

7. Baba Imani

Baba Imani Member

#7
Aug 1, 2011
Joined: Jul 15, 2011
Messages: 79
Likes Received: 1
Trophy Points: 13
Wapi mash aka ndonde? Isungu's honey pot na muungano mess je?

8. tunalazimika

tunalazimika JF-Expert Member

#8
Aug 1, 2011
Joined: Nov 5, 2010
Messages: 1,100
Likes Received: 4
Trophy Points: 135

<br /
ok_nilikuwa na afande chacha 1995_1997 PCM, nitahudhuria_InshALLAH!

9. Ngaliba Dume

Ngaliba Dume JF-Expert Member

#9
Aug 1, 2011
Joined: Oct 6, 2010
Messages: 1,604
Likes Received: 1,716
Trophy Points: 280
Hahahaaa kumbe RedDevil na VoiceofReasons n waboysia?saf sana!ndo mana comment zenu za vipajvipaji...wapi Masele,Mrisha,Kanyaboya na tarumbeta?wapi Afande chacha?

10. Rogie

Rogie JF-Expert Member

#10
Aug 1, 2011
Joined: Nov 22, 2010
Messages: 6,310
Likes Received: 3,058
Trophy Points: 280
Haahaa..nimeipenda hii..tuombe uzima nitahudhuria pia.. Naomba Cleophas aliokuwa kiongozi wa brass band atuongoze na band yake cku hyo

11. Rejao

Rejao JF-Expert Member

#11
Aug 1, 2011
Joined: May 4, 2010
Messages: 9,239
Likes Received: 245
Trophy Points: 160
Tabora school..shule ya..
Hapa alisomeshwa..baba yetu wa taifa!!
Nakumbuka maneno machache machache ya lisong la shule!
Meeting wapi wadau!!

12. Chona

Chona JF-Expert Member

#12
Aug 1, 2011
Joined: Mar 8, 2010
Messages: 514
Likes Received: 93
Trophy Points: 45
Mkuu waboizia huwa hawasahau
Kwa kukusaidia hilo li song linaenda hivi

1.Tabora school kishwa cha Tanzania
Jinalo weee, pote linatajikaa
Hapa alisomeshwa, baba yetu wataifa.
Tabora school, Kichwa cha tanzania

2.Tabora school, daima ukumbukwe
Viongozi wafurahishwa nawee
........ AND so on and so on

Kitambo sana wazee. Kikao kitakuwa wapi? Lipumba, Kapuya, Sitta, Makongoro Nyerere watakuwepo.
Nasikia Mwl Madafu alifariki?, Wapii Masele, Mrisho, Madafu,Shendu, Maduka, Kalunguyeye, Kajuna, Mwombeki, Nyanda, Limbe na wengine wengi
Kit

13. Julius Kaisari

Julius Kaisari JF-Expert Member

#13
Aug 1, 2011
Joined: Oct 12, 2010
Messages: 1,174
Likes Received: 34
Trophy Points: 145

Na wewe umo? Unatuaibisha na mikoment yako ya magamba..Wapi nyangala,shendu,ndugu d..mrisho,magese,

14. M

Masuke JF-Expert Member

#14
Aug 1, 2011
Joined: Feb 28, 2008
Messages: 4,606
Likes Received: 108
Trophy Points: 160
Mkuu umenitisha kuanzia mwaka 1922, kuna hatari ya kupata vikongwe ambao hata kuongea wasiweze kabisa.

15. VoiceOfReason

VoiceOfReason JF-Expert Member

#15
Aug 1, 2011
Joined: Nov 4, 2010
Messages: 5,234
Likes Received: 43
Trophy Points: 0
ha ha haa haaa

Alpha, Bravo, Charlie, Delta, Echo, Foxtrot, Golf, Hotel, India, Juliet, Kilo, Lima, Mike, November, Oscar, Papa, Quebec, Romeo, Sierra, Tango, Uniform, Victor, Whiskey

Nilipita pale mwaka juzi nasikitika kusema kwamba sasa Jeshi limefutwa...., Maafande hawapo tena pale

16. VoiceOfReason

VoiceOfReason JF-Expert Member

#16
Aug 1, 2011
Joined: Nov 4, 2010
Messages: 5,234
Likes Received: 43
Trophy Points: 0
Kweli mkuu na wengine wasimeshatangulia kuliko na Haki... Mwalimu Nyerere, Kigoma Malima to name just a few
...RIP

17. Julius Kaisari

Julius Kaisari JF-Expert Member

#17
Aug 1, 2011
Joined: Oct 12, 2010
Messages: 1,174
Likes Received: 34
Trophy Points: 145
kweli old z gold...Long live Tbr School!

18. S

Silas A.K JF-Expert Member

#18
Aug 1, 2011
Joined: Apr 23, 2008
Messages: 807
Likes Received: 16
Trophy Points: 35

Mimi nilikuwepo enzi za Marehemu Alexander Ndeki nikamaliza wakati wa Katendele.Nilifundishwa na Shendu,Kanijo Kapaya,Nkumba,Hugo Shija Madafu,Mama Kimwaga,Monera(jina lake halisi siyo hili),duuh mwalimu wa kiingereza Mr.Mwangu,Masele duuuh na Kitemango the list is endless. Namkumbuka sana Afande Nyamonge,Njaidi,Warioba,Afande Chacha matusi na maafande kibao wakurya.katika ya walimu nilimsahau Mwl. Pambe hivi sasa ni Mkurugenzi Wizara ya Elimu na mwalimu wangu wa theatre arts bwana Kilonzo kama sijakosea!

Nakumbuka mambo ya mbarara you know what i mean,kuengua layer,kichuno aaaaah natamani kuwaona wengi niliowaona wakati huo hiyo October.

19. Julius Kaisari

Julius Kaisari JF-Expert Member

#19
Aug 1, 2011
Joined: Oct 12, 2010
Messages: 1,174
Likes Received: 34
Trophy Points: 145

mambo ya warsaw,student centre, bila kumsahau mwl mbulwa,..tukutuku,ng'ambo,,

20. Ngaliba Dume

Ngaliba Dume JF-Expert Member

#20
Aug 1, 2011
Joined: Oct 6, 2010
Messages: 1,604
Likes Received: 1,716
Trophy Points: 280
Jama nataka kutoka na machozi!am in Sicily-Italy somewhere Agrigento for a long period!mkinitajia majina nakumbuka mbali sana..kweli home sweet home!Thanx to Tbr school imenifanya niwe ivo!next summer I wl be in Tz!hope to attend the Gathering!nakmbuka One-leg,nyangara,Unyuka,redo,mbarara n.k!but wont 4get madafu,kanyaboya,masele e.t.c..tulijfunza meng sana..Wataliano wanasema...Non Scholae Sed Vitae Ducimus=We are nt learning only for school bt for life!MISS THE HEAD OF TZ!

Loading...